Jamani kuna mtu kanionea queenkami huku? Tangu asubuhi namtafuta. Mkimwona mwambieni mbona hajibu PM yangu? Samahani kwa hii ofu topiki!
Nyie dada zangu mna ugomvi kati yenu?:hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand:
Nyie dada zangu mna ugomvi kati yenu?:hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand:
Kiongozi mimi ni kidume cha mbegu (HE)
sasa unapata faida gani kujifanya mkaka?
kusakwa na kiongozi wa juu wa ISC kunawasha taa nyekundu na king'ora cha hatari.
vipi asprin unanitafutia nini?au unataka nikuongoze SALA YA TOBA?
nilijua tu uinfii utakukinahi baada ya muda.
PM bado tuko ktk research.
mimi sio mkaka Nyamayao, mimi ni dume haswaaaaaaaaaaaaa!Asprin hakuisoma vizuri profile yangu!Anyway pole
Afadhali...kumbe uko huku? Usifanye hivyo bwana...Unajua mtoto wa mwanamke mwenzio ni kama mwanao?
gia unayotumia sio wala nini, badili!
Kiongozi mimi ni kidume cha mbegu (HE)
mwanaume aliefanikiwa kuniongezea hizo unazoita protein ni huyu nimuitae mr.....umenipata?
Kuna haja ya kusisitiza jinsia yako kiasi hiki?:confused2:.....with an experienced newcomer jinx...
Hivi mtu ukitaka ku prove kama jinsia yako ni HE/SHE unafanyaje?:becky::becky:
Hivi mtu ukitaka ku prove kama jinsia yako ni HE/SHE unafanyaje?:becky::becky:
Kuna haja ya kusisitiza jinsia yako kiasi hiki?:confused2:.....with an experienced newcomer jinx...
ngoja nianzie hapa kwako!je, wewwe ni HE/SHE?sorry!!!!
Amua mwenyewe....ukiona ni she basi na iwe, ukiona ni he basi na iwe!
Ila nina zaidi ya miaka mitatu humu jf na sijawahi kuulizwa!
labda unisaidie mpwa,labda kwa kutizama ile flow ya michango ya mawazo unaweza kujua ni SHE/HE!Au labda wengine hisia zao ni kali