Hivi kwanini wanaume tunapogundua huwa moyo unataka kuchomoka?

Jamani kuna mtu kanionea queenkami huku? Tangu asubuhi namtafuta. Mkimwona mwambieni mbona hajibu PM yangu? Samahani kwa hii ofu topiki!

kusakwa na kiongozi wa juu wa ISC kunawasha taa nyekundu na king'ora cha hatari.
vipi asprin unanitafutia nini?au unataka nikuongoze SALA YA TOBA?
nilijua tu uinfii utakukinahi baada ya muda.
PM bado tuko ktk research.
 
Afadhali...kumbe uko huku? Usifanye hivyo bwana...Unajua mtoto wa mwanamke mwenzio ni kama mwanao?
 
Infi askofu yuko wapi? Nina salamu kutoka kwa muumini aliyetoka kutubu kwake
 
Hivi mtu ukitaka ku prove kama jinsia yako ni HE/SHE unafanyaje?:becky::becky:
 
Hivi mtu ukitaka ku prove kama jinsia yako ni HE/SHE unafanyaje?:becky::becky:

labda unisaidie mpwa,labda kwa kutizama ile flow ya michango ya mawazo unaweza kujua ni SHE/HE!Au labda wengine hisia zao ni kali
 
ngoja nianzie hapa kwako!je, wewwe ni HE/SHE?sorry!!!!

Amua mwenyewe....ukiona ni she basi na iwe, ukiona ni he basi na iwe!
Ila nina zaidi ya miaka mitatu humu jf na sijawahi kuulizwa!
 
Amua mwenyewe....ukiona ni she basi na iwe, ukiona ni he basi na iwe!
Ila nina zaidi ya miaka mitatu humu jf na sijawahi kuulizwa!

Hilo sio tatizo,yawezekana kama unavyosema kila mtu anajua amekudefine vipi humu ndani!tuachane na hayo anyway.........!turudi kwenye topic
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom