Hivi kwanini wanaume tunapogundua huwa moyo unataka kuchomoka?

lipo lipo tu, kila kukicha kuoa na kuacha, kazaa na huyu mara yule kesho amemwacha, anasema hajapata/hatapata mwanamke aliekuwa amepangiwa na muumba zaidi ya nyamayao, mschwee! halafu cjui kwanini watu msiachane kistaarabu hata kesho mkikutana japo msalimiane/mbadilishane mawazo, kuna kusaidiana hapa na pale, mie bfrnd wangu alieniingiza kwenye huu ulimwengu ni mtu ambae tunaheshiminiana sana, mtu ambae anaweza kunisadia/kunishauri hapa na pale, hayo ndio maisha, sio mmevuana magagulo leo mnaonana kama panya na paka.

Sasa mbona na wewe unamkandia?? Au nasoma vibaya....hivi yule aliyeku-slap ni yupi?
 
sitaki kumsemea mpwa Finest, lakini kwa hili ntasema!siku zote mwanamke ayepepeta sana maneno ujue hamna kitu hapo, yaani hamna starehe hapo!kikubwa ni kujichafua tu na kutiwa shombo tu!sidhani kama Maty hiyo mechi na mpwa wangu utaiweza, maneno yako yanadhihirisha wazi!

Ila mwanaume anayepepeta sana ndio anayaweza???? naomba unijibu hili swali
 
Hapa binti akipata rungu la kisawasawa na hilo lungu likawa linamtendea haki binti ukimuacha wewe basi yeye ndio ataumia akianza kufikiria jinsi ulivyokuwa unamchapa na rungu kisawasawa mbona lazima ageuke arudi kulifuata, litumie rungu lako ipasavyo twanga kote kote
Duh...! Hii kali...! Naomba dada zetu wajiweke wazi hapa, huenda kweli tunawanyima haki zao bila kufanya hivi...! Tafadhalini sana, I am very serious because I never did this, so I want to learn to avoid doing mistakes...!

Hizi tambo zote ni kuwa bado haujapata rungu size yako ukilipata na likatumika kwako ipasavyo likagonga sehemu zote mpaka likachakachua kale kaharage utakuwa unapiga simu na unakuja mwenyewe na gari yako
Basi kuna haja ya kupima viungo kabla ya kukutana, vinginevyo hadi upate size yako utakuwa umesha chakachua/chakachuliwa vya kutosha...!

Nature inaruhusu! Hakuna awezaye kubishana na kitu NATURE! Nature na iheshimiwe na watu wote!
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
mwanaume huwa hapepeti maneno, bali anachojua ni kutwanga kote kote!

Hii twanga kote kote mnayozungumzia hapa ni ipi? hebu nifafanulie maana naona members wa infi wote mnaishabikia
 
Sasa mbona na wewe unamkandia?? Au nasoma vibaya....hivi yule aliyeku-slap ni yupi?

huyu ni haki zangu kabisa kumkandia coz na yeye alinikandia sana kipindi kile, sio! hili lilikuja baada ya alienitwanga.
 
kama umeyayuka kimpango wako lakini taarifa ndio hiyo.

sawa, kimpango wangu!lakini ni kweli kabisa huko nyuma nyamayao hukuwahi kucheza zile game bila jamaa kuvaa soksi, mmmmh!hata mara moja kweliiiiii?????Na wasiwasi
 
]Hii twanga kote kote mnayozungumzia hapa ni ipi?[/B] hebu nifafanulie maana naona members wa infi wote mnaishabikia

Ni PM maana maelezo ni marefu kidogo halafu baadae tunamalizia na PRAKTIKO baada ya hapo utaelewa tu
 
Inawezekana bado unampenda, ila kwa tabia za mwanamume, mwanamke uliyemwacha anatakiwa kupata shida sana. Yaani ukikutana naye awe labda ni omba omba au yaya fulani kwa waarabu au wahindi. Pia ungeambiwa kuwa baada ya kumwacha alipata shida karibia na kufa au kufa, wanaume wengi husikia raha.

Ndivyo wanaume tulivyoumbwa. Msinilaume mimi bure.

jamani sitaki kukubali kuwa mumeumbwa na roho mbaya isiyo na huruma kiasi hicho.:A S 13:
sio wote wapo wanaume wenye kuombea ex wao wafanikiwe bwana.
huyo ex atakua amekukosea nini kiasi cha kumuwish mabaya ya namna hii
mmh
 
Jamani kuna mtu kanionea queenkami huku? Tangu asubuhi namtafuta. Mkimwona mwambieni mbona hajibu PM yangu? Samahani kwa hii ofu topiki!
 
sawa, kimpango wangu!lakini ni kweli kabisa huko nyuma nyamayao hukuwahi kucheza zile game bila jamaa kuvaa soksi, mmmmh!hata mara moja kweliiiiii?????Na wasiwasi

wewe...kila mtu ana mcmamo wake kwenye lyf, na mie mcmamo wangu ulikuwa ni huo kuhusiana na mapenzi, hata mr pia ilikuwa hivyo mpaka tulipofikia muafaka, kupima/uchumba ndio kikaeleweka.
 
huyu ni haki zangu kabisa kumkandia coz na yeye alinikandia sana kipindi kile, sio! hili lilikuja baada ya alienitwanga.

Una kazoefu kakubwa....:grouphug:....
Ila ukweli hata wanawake hawapendi 'left overs' zichanue..
 
jamani sitaki kukubali kuwa mumeumbwa na roho mbaya isiyo na huruma kiasi hicho.:A S 13:
sio wote wapo wanaume wenye kuombea ex wao wafanikiwe bwana.
huyo ex atakua amekukosea nini kiasi cha kumuwish mabaya ya namna hii
mmh

Yaani bibie mi sio kwa ex wala nini. Huyu nilie nae kama yuko mbali na mimi nikasikia anaumwa nafurahi sana. Maana najua angalao hakuna anayegusa ha ha ha! Ni imani tu ila hakuna ushahidi wowote. Sasa ikija kwa ex nadhani sijui itakuwaje, automatic nitakuwa naomba apigike angalao kidogo anikumbuke kumbuke...
 
hapo umeniyeyusha nyamayao!!!!!

kama umeyayuka kimpango wako lakini taarifa ndio hiyo.

sawa, kimpango wangu!lakini ni kweli kabisa huko nyuma nyamayao hukuwahi kucheza zile game bila jamaa kuvaa soksi, mmmmh!hata mara moja kweliiiiii?????Na wasiwasi

wewe...kila mtu ana mcmamo wake kwenye lyf, na mie mcmamo wangu ulikuwa ni huo kuhusiana na mapenzi, hata mr pia ilikuwa hivyo mpaka tulipofikia muafaka, kupima/uchumba ndio kikaeleweka.

Nyie dada zangu mna ugomvi kati yenu?:hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand::hand:
 
Back
Top Bottom