Hivi kwanini wadada wako hivi

Hivi kwanini wadada wako hivi

mzee wa misele

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
366
Reaction score
46
Wakuu natumaini wote wazima hivi kwanini wadada wengi wanakuwa wagumu kutoa namba za simu wakiwa kwenye sehemu ya watu wengi kama sokoni, balabalani,kanisani nini sababu?
 
Wanaaibu mkuu ya kuonwa na watu wengine ndio mahaana wanafanya ivo
 
inategemea ukiwa ndani ya vogue,,fasta tu namba inatoka
 
Wakuu natumaini wote wazima hivi kwanini wadada wengi wanakuwa wagumu kutoa namba za simu wakiwa kwenye sehemu ya watu wengi kama sokoni, balabalani,kanisani nini sababu?

Kwa nini watoe?

Kama wewe huoni shida, basi tengeneza bango, weka namba yako na bandika njia panda. Wakiipenda watakutafuta tu!
 
Back
Top Bottom