Hivi kwanini mnapenda kufanya hivi...

Hivi kwanini mnapenda kufanya hivi...

Midundo

Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
58
Reaction score
12
Jamani wadada kuna jambo huwa linanitatiza sana, mtu anakufuatilia weee unamzungusha eti kumpima imani. Alafu siku unamkuta na mwanamke mwingine unaanza kumrushia madongo, uhuni tu, ulikua unanitamani tu, hukua na nia thabiti, ndo nini sasa kunionyesha mwanamke mwingine kama mie is mwanamke!!!? Jamanii, hayo yote yanatoka wapi, kwani mi niliomba kuoa? Afu ukimwambia ulinzingua mwenyewe anaanza kujizogeza, hapo ndo huwa tunafunua, kula na kujiweka pembeni, ni hayo tu kwa leo wapendwa, mi nawapenda sana wadada, endelezeni michezo hiyo hiyo ili tuendelee kuwaliza kila kukicha.
 
..ivi kuna binti asiyepigwa miaka hii.. hadi akuonee wivu.. dunia hiyo haipo sasa..
 
Unakomesha m!oo yako bure, hukomeshi mwanamke.

hahahaaa! Anaenda kumaliza nguvu zake za kiumeni bure kwa wanawake wakupita hawaishagi hao utagegeda mpaka mishipa ikutoke kwakujidai eti anawakomoa lol!
 
Jamani wadada kuna jambo huwa linanitatiza sana, mtu anakufuatilia weee unamzungusha eti kumpima imani. Alafu siku unamkuta na mwanamke mwingine unaanza kumrushia madongo, uhuni tu, ulikua unanitamani tu, hukua na nia thabiti, ndo nini sasa kunionyesha mwanamke mwingine kama mie is mwanamke!!!? Jamanii, hayo yote yanatoka wapi, kwani mi niliomba kuoa? Afu ukimwambia ulinzingua mwenyewe anaanza kujizogeza, hapo ndo huwa tunafunua, kula na kujiweka pembeni, ni hayo tu kwa leo wapendwa, mi nawapenda sana wadada, endelezeni michezo hiyo hiyo ili tuendelee kuwaliza kila kukicha.

wee wagegede tuu mkuu kwa raha yako. wanawake watamu bwana asikwambbie mtu
 
Is wajifanya wanataka take over man, ni kende tu arifu, msinione mbaya warembo ila ndo hali halisi.....
 
Kumbuka magonjwa nayo yatakukomesha. Hapo unajikomoa mwenyewe, acha ngono wanawake hawaishi.
 
Unakomesha m!oo yako bure, hukomeshi mwanamke.
si mpaka awe nayo hiyo ya kuikomesha????vivulana mna matatizo sana ukipewa jibu na beki tatu mmoja unakuja kusema wanawake wote......kazi mnayo!!!!!!!
 
Beki tatu ehee! Alokudanganya nani!!!!
 
Jamani wadada kuna jambo huwa linanitatiza sana, mtu anakufuatilia weee unamzungusha eti kumpima imani. Alafu siku unamkuta na mwanamke mwingine unaanza kumrushia madongo, uhuni tu, ulikua unanitamani tu, hukua na nia thabiti, ndo nini sasa kunionyesha mwanamke mwingine kama mie is mwanamke!!!? Jamanii, hayo yote yanatoka wapi, kwani mi niliomba kuoa? Afu ukimwambia ulinzingua mwenyewe anaanza kujizogeza, hapo ndo huwa tunafunua, kula na kujiweka pembeni, ni hayo tu kwa leo wapendwa, mi nawapenda sana wadada, endelezeni michezo hiyo hiyo ili tuendelee kuwaliza kila kukicha.

Hii kitu ni kweli kabisa,kuna demu nilimfatilia miezi 4 ananizungusha,nikapata mwingine nikaenda kujitambulisha kwao,huyu alienizungusha baada ya kupata hizi habari nimekua adui yake,kamind vibaya sana,hadi nashangaa
 
Ndo vile arifu, lazima atakuzingua sana, na kumbuka wakati anakuletea hizo pozi kuna boya mwingine anamgegeda kama kawa!!
 
Back
Top Bottom