Tambikeni
Member
- Mar 11, 2013
- 52
- 6
Ukianzia tu huduma za maji, umeme, makazi bora, afya na makundi yenye mahitaji maalumu kama wanawake, watoto, na walemavu. Sikutegemea kama hadi leo kuna vijiji visivyo na miundombinu ya maji japo vyanzo vya maji vipo. Wafanyakazi wa serikali waliopo huko ni wale waliotoka kwenye familia duni maana wote wenye marefa hawawezi kuishi kule.
Nikisikiliza taarifa za habari nasikia eti wanaharakati wamejiridhisha kuwa vitendo vya unyanyasaji kwa wanawake na watoto vimepungua.Huwa nacheka sana mtendaji huku ndiye hakimu wa kesi za ardhi, wanaopigana na makosa yote yanayohitaji suluhu. Kijiji chenyewe kipo km 30 kutoka makao makuu ya mkoa na kipo ndani ya manispaa.
Mungu watanzania wako wa vijijini wanateseka sana.
vipigo kwa wanawake kila uchao, wanaume kutumia mali za ndani kwa kunywea pombe ndo jadi yao. wanafunzi kukosa daftari la mia mbili usishangae, mwanafunzi kuwekwa zamu ya kuchunga mifugo siku ya shule kawaida tu. kuolewa chini ya miaka 15 kawaida sana.