Hivi kwanini Burigi iitwe Chato National Park wakati inapatikana Kagera?

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
11,383
14,198
Sielewi Kwa nini inakuwa hivyo? Burigi ipo mkoani kagera IPO katika wilaya ya muleba, biharamulo na kidogo karagwe.

Chato ipo huko geita.sasa inakuwaje inaitwa burigi chato national park?
 
Hata mimi nimeshangaa sana. Chato ni huko na Burigi iko huko sasa sijajua imekuwaje. Nitawauliza zaidi wanaotokea Kagera waniambie
 
Acheni chuki dhidi ya Jiji tarajiwa la Kibiashara la Chatto

Halafu sio Chato ni Chatto

‘Matatizo yasiyotatuliwa awamu hii hayatotatuliwa Milele ‘

Wana Chatto wameteseka vya kutosha na sasa tuseme imetosha


‘... Kama mtoto wenu ni Rais na kashindwa kuibadilisha Msoga msitegemee Muujiza wa kuja kuibadili Msoga...’- Mgombea Urais wa Chadema Dr Wilbroad Peter Slaa 2010 kwny Kampen za Urais akiwa Bagamoyo
 
Uzandiki upo na unaishi,

hiyo hifadhi ni sehemu ndogo sana inaingia mpaka chato lakini haitoi uhalali wa hifadhi nzima kuiita chato national park hata aibu hana

Angekuwa mjanja angeunda mkoa na biharamulo ikawa sehemu ya mkoa mpya kidoogo ingeleta maana lakini hiki kilichofanyika ni u,,,,,ku,,,ma
 
Tatizo tumejaa ubinafsi sana, ila ukiiangalia Chato kama mtanzania ni fursa mpya inazaliwa. Njooni muwekeze ni free kwa mtanzania yeyote
 
Huenda baadae mkoa utaongezwa na itakuwa ndani ya mkoa wa Geita wilaya ya Chato, akili za kuambiwa changanya naza kwako
 
Huenda baadae mkoa utaongezwa na itakuwa ndani ya mkoa wa Geita wilaya ya Chato, akili za kuambiwa changanya naza kwako
Geita ni mkoa tayari na Chatto ni miongoni mwa wilaya zake.Nahisi ulidhamiria kuandika tofauti mkuu.
 
Thats all Magufuli is Failing
 
Aibu ipi wakati yote ni tz...ww hamnazo ....
nani alikuwa anaijua Burigi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…