Hivi kwanini binadamu wanalewa pombe Kali hawaogopi kifo cha kuhangaika usiku

POMBE Kali hizi k vant,konyagi ukinywa ukija kulala usiku unaamka Kama vile unataka kufa yaani unahangaika unatafuta maji unakuta hupati Tena usingizi mpaka saa 11.sasa maisha ya Nini hayo ya kujitesa Mwisho ufe kwa high blood pressure au stroke.ndo hivyo lakini neno langu sio SHERIA hata nikisema Sana POMBE zitaendelea kunywewa tu.lakini ulevi hauna faida Wala maana zaidi ya ku suffer tu.mwisho wa siku UKAWA mlevi wa kupitiliza ukaacha hata kufuatilia maendeleo ya mtoto huo Sasa utakuwa sio ulevi juo utakuwa Ni wehu.lakini salute kwa watu wote wanaokula vyombo na bado Mambo yao yanaenda Kama kawaida.baba zetu majumbani na wale wa maada maalum ya walevi najua wengi wanalewa Ila kwa akili Sana lakini 80% ya vijana below miaka 25 wanalewa hatari na hawana kitu katika maisha hela sijui Ni stress za aina gani hizo.mtu Kama huyo asiyeshaurika anatakiwa apatiwe tiba gani Zaidi ya kuachwa aendelee ku suffer?
Starehe za Wazee hizi, vijana kaeni mbali maini bado hayajakomaa!
 
Unakimbia pombe unaenda nyofoa betri ya gari LA mafuta unakufa na unaua wengine.ushauri mzr ila kila MTU na starehe yke hakuna kisicho na side effects.
 
Hahahaaa,unaacha pombe unaenda kupiga mishe za kuzoa mafuta ukauze utajirike kisha kesho ukatoe ushuhuda kanisani Mungu amekutendea Moto unakusomba unakufa!!
 
POMBE Kali hizi k vant,konyagi ukinywa ukija kulala usiku unaamka Kama vile unataka kufa yaani unahangaika unatafuta maji unakuta hupati Tena usingizi mpaka saa 11.sasa maisha ya Nini hayo ya kujitesa Mwisho ufe kwa high blood pressure au stroke.ndo hivyo lakini neno langu sio SHERIA hata nikisema Sana POMBE zitaendelea kunywewa tu.lakini ulevi hauna faida Wala maana zaidi ya ku suffer tu.mwisho wa siku UKAWA mlevi wa kupitiliza ukaacha hata kufuatilia maendeleo ya mtoto huo Sasa utakuwa sio ulevi juo utakuwa Ni wehu.lakini salute kwa watu wote wanaokula vyombo na bado Mambo yao yanaenda Kama kawaida.baba zetu majumbani na wale wa maada maalum ya walevi najua wengi wanalewa Ila kwa akili Sana lakini 80% ya vijana below miaka 25 wanalewa hatari na hawana kitu katika maisha hela sijui Ni stress za aina gani hizo.mtu Kama huyo asiyeshaurika anatakiwa apatiwe tiba gani Zaidi ya kuachwa aendelee ku suffer?

Tiba mbona umeisema wazi hapo mwisho.. Tiba ni KU SUFFER TU..!! 😡
 
Back
Top Bottom