Mimi sisemei kuringa lkn kwa uzuri wao, SISI wanaume hasa wenye mijipesa halafu waume za watu ndo tunaowaharibu hawa mabinti. Kwa kaitumia pesa tunaowaharibu sana kuwanunulia vitu vya thamani kubwa, utakuta mtoto mdogo ananunuliwa Vanguard, Murano, harrier hybrid, Mara kajengewa nyumba. Mara akaunti katumiwa 10M. Sasa fikiria kijana ndo umeajiriwa juzi utampata kweli huyo?. Wakati naanza kazi man km miezi minne nilimpata mtoto mmoja wa haja, hips za hatari, km Somali alinipenda balaa lkn shida alikuwa na pedeshee liko wizara ya Maji. Lilikuwa linahonga balaa, milioni miaka ile ilikuwa inamtoka tuu. Kampangishia tabata. Shida ikawa likisafiri linaenda nae. Hii alikuja nisimuliaa wakati namwacha akaniambia alidhani ntamuoa ili aachane na huyo baba. Wakati huo Ana 20. Dah nikaona nikiona hapa nisije lea watoto wa peseshee maana mtoto ashazoea kuwa na laki mbili tatu kwenye pochi daily ataweza kunywa chai na karoti huyu?