Hivi kwa nini wadada mnakuwa hivi hamuoni kama ni usumbufu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini wadada mnakuwa hivi hamuoni kama ni usumbufu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Feb 21, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mimi nimekuwa nikifatilia kwa karibu kuhusu hawa akina dada kuhusu maswala ya mahusiano nikagundua udhaifu huu na nikawaonea huruma!!Moja ya kitu nikionacho kwao nijuu ya hili:
  Inatoke mwanamke mekorofishana kiasi kwamba ni uadui mkubwa lakini ikitokea mkakutana ukaongea naye mkaingia chumbani ukafika mahali pale Basi ghubu lote uyeyuka kama siagi kwenye jua!!Nakama alikuwa anamilioni 90 atakwambia na kukuuliza mfanye nini juu ya hiyo pesa!!Sasa mimi ninajiuliza je Abdallah K"wazi!!Ndiye sumu kwao au nini??naomba kulijua hili maana hata anayebakwa ikipenya tu tayari karegea tatizo nini??
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kuna msemo eti wanawake tumezoea kudanganywa ila sio kweli :A S 112::A S 112:
  Mie mtu akiniudhi namfuta kabisaaaa
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Simpaka akipata upenyo tu unasahau!!!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wengine ugomvi unaanzia kwenye dozi km unama nyembamba arakuchukiaaa
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  MR mwanamke sio kwamba anapenda kuambiwa uongo, la hasha! Ni kwamba wanawake hawapendi kusikia mambo yatakayo wafanya wajisikie vibaya, au aambiwe hana sifa fulani ambayo ni nzuri kwa wanawake. Na hapo ndio wanaume wanapitishia uongo wao
   
 6. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  :blah::blah:.....unacheza weye..
   
 7. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  huo ni udhaifu wao tu

  Hata sisi wanaume tuna udhaifu wetu,
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wangapi unawaongelea??Sidhani kama unawajua wadada wote hapa duniani kwahiyo sema baadhi!Alafu wanaopenda uongo labda wamegundua mmekubuhu kwenye uongo kwahiyo wameamua kukubali yaishe!
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Ukikuta mwanamke wa hivyo basi ana mapenzi ya dhati kwako..

  Nimezungumzia uzoefu, trust me.....
   
 10. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Usifanye hivyo, take some more time and relax MR'
   
 11. V

  Vetinari Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushawahi kubaka? Ulijuaje kama wakibakwa wanaregea?

  Plz do not joke about things you do not know.....victims of rape don't find it funny.
   
Loading...