Natalia nahisi jibu unalo wewe mwenyewe kwani hicho kilichokufanyeni mkimbilie huko ndicho hicho wenzako wanachodhani kipo.........!Kuna mkaka jamani alikuwa anakazi nzuri kwenye magazeti bongo alikuwa hakosi .Huyu kaka amekuja USA tena na student visa Hana social Hana ID na Kule bongo kazi aliacha.Nilienda SAMs club nikaingia mlangoni nikamgundua ni mtanzania yupo pale anafanya kazi macdonald na hii macdonald manager mbongo kwa hiyo kamsaidia tu.Dah yaani machozi yalinidondoka ,hivi Huku USA mnakupendea nini.hapa mimi nimemwambia mume wangu akiretire tu half Tanzania half Huku.
Mbona unajibu kwa hasira ni wewe nini?Ulilia na kama unamuonea huruma kwanini usimtunze naye awe anakuliwaza? Kuwa na huruma dada.
Kila mtu hutafuta pale anapodhani aweza kupata riziki,so suala la kukosa ni matokeo tu na lazima uje kuwa kukosaa miak miwili haina maana utakosa kila siku.Anachokitafuta anakijua vizuri kwa kuwa hata uzoefu kuupata ni gharama.So mumeo atavyostaafu yeye atakuwa mtu mwingine so mpe nafasi afanye lile moyo wake unafurahia.Kuna mkaka jamani alikuwa anakazi nzuri kwenye magazeti bongo alikuwa hakosi .Huyu kaka amekuja USA tena na student visa Hana social Hana ID na Kule bongo kazi aliacha.Nilienda SAMs club nikaingia mlangoni nikamgundua ni mtanzania yupo pale anafanya kazi macdonald na hii macdonald manager mbongo kwa hiyo kamsaidia tu.Dah yaani machozi yalinidondoka ,hivi Huku USA mnakupendea nini.hapa mimi nimemwambia mume wangu akiretire tu half Tanzania half Huku.
Natalia nahisi jibu unalo wewe mwenyewe kwani hicho kilichokufanyeni mkimbilie huko ndicho hicho wenzako wanachodhani kipo.........!
My father is American na my mummy mtanzania .mzazi wangu alikuwa a nafanya world bank huku.mimi mtoto wa fisadi ninaletewa tuition fees na pocket money.huyu kaka wanamtegemea bongo.mimi wazazi wangu wanauwezo situmi pesa bongo may be marafiki zangu wakikwama na wachekiWewe uliendaje huko USA? Na ni nini kilichokupeleka huko? Kama ambavyo wewe uliona ni dili kuhamia huko na kujilengesha kwa mwanaume mmarekani ili upate tiketi ya kuishi marekani, basi na wenzako wanatafuta bahati zao.
Bongo kuna kazi gani nzuri? Mtu unalipwa mshahara milioni moja kwa mwezi halafu unakula makato laki nne, hela inayobakia hata mwisho wa mwezi haikufikishi kutokana na inflations zilivyo juu, sasa si bora hata kuwa mzibua vyoo marekani lakini uwe na uhakika wa unachokipata?
Inaelekea uko USA wewe waambie wenzio ukweliWewe uliendaje huko USA? Na ni nini kilichokupeleka huko? Kama ambavyo wewe uliona ni dili kuhamia huko na kujilengesha kwa mwanaume mmarekani ili upate tiketi ya kuishi marekani, basi na wenzako wanatafuta bahati zao.
Bongo kuna kazi gani nzuri? Mtu unalipwa mshahara milioni moja kwa mwezi halafu unakula makato laki nne, hela inayobakia hata mwisho wa mwezi haikufikishi kutokana na inflations zilivyo juu, sasa si bora hata kuwa mzibua vyoo marekani lakini uwe na uhakika wa unachokipata?
Baba angu mzungu mmarekani . Nimekutana na mume wangu college Washington .wazazi wangu walinisomesha na nilikaa boarding George Washington .mama Angu mbongo,mume wangu mzungu.makupenda TZ kiliko Huku.kwa kweli sijatoka Kwenye shida
Congrats for you are benefiting the fruits of your mom's submission to a mzungu. Waache na wenyewe wajaribu bahati zao, labda watoto wao watafaidika kama unavyofaidi wewe. Bila shaka hujui maisha ya Tanzania hivi sasa. Yaani Tanzania tangu alipoingia baba Ridhiwani madarakani ni shida tupu. Hata ulipwe milioni mbili haitoshi kitu. Maisha ni magumu hayawezekani. Ndiyo maana nasema ukiona kuna uwezekano wa kupata hata kazi ya kulamba vyoo huko marekani ukajipatia dola 1000 kwa mwezi, halafu ukatumia 500, na 500 nyingine ikabaki, wewe utakuwa una maisha bora kuliko watanzania zaidi ya milioni thelathini walioko Tanzania.My father is American na my mummy mtanzania .mzazi wangu alikuwa a nafanya world bank huku.mimi mtoto wa fisadi ninaletewa tuition fees na pocket money.huyu kaka wanamtegemea bongo.mimi wazazi wangu wanauwezo situmi pesa bongo may be marafiki zangu wakikwama na wacheki
:biggrin1: Tena ningeshauri huyo jamaa umtambulishe kwa ndugu wa buzi lako ili na yeye ajiopoee mmarekani wa kuoa na yeye aishi huko na hivi obama anawajali immigrants huwezi jua mnaweza pata makaratasi chapchap