Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,834
- 35,849
Alikuwa ana mpiga majungu mandiaNgaizaa anajua sanaa ilaa Jamaa majungu mengii.....
Sio Mandia na Isue boy hataa wnafnzii piaa...Alikuwa ana mpiga majungu mandia
Anawapiga majungu wanafunzi wake tena duuhSio Mandia na Isue boy hataa wnafnzii piaa...
hahahaah huo msemo wakuitana mamlukii ndo ulinkmbiza tuition kwakee mimi... Ukiwa mamluki ukiilza swali hakujibuAnawapiga majungu wanafunzi wake tena duuh
Ana msemo wake anajiita yeye mkongwe ila wengine mamluki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungevumilia tu mkuuhahahaah huo msemo wakuitana mamlukii ndo ulinkmbiza tuition kwakee mimi... Ukiwa mamluki ukiilza swali hakujibu
[emoji23] [emoji23] ilaa nashukuru msingi niliopata Pre form five kutoka kwake na pamphlet zake vimenipeleka COET...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ungevumilia tu mkuu
Kila mtu anaekufundisha ni mkongwe sasa cjui nan zaidAnawapiga majungu wanafunzi wake tena duuh
Ana msemo wake anajiita yeye mkongwe ila wengine mamluki
utalivua tu hilo gamba ulilovaaHivi ni kwa nini chuo kikuu hamna tuition?
Aisee napenda sana kuhudhuria vipindi vya tuition kuliko vya shuleni sijui itakuaje kwa kweli
Shuleni mimi ni doja mzuri ila tuition ni mhudhuruaji mzuri
Jamani anzisheni tuition za chuo wengine hatuwezi soma bila tuition
Ngaiza Lusima huyu jamaa namkubali sana