Hii ni katika imani husemwa haya ili watu wasije tafuta njia ya mkato katika kutafuta pesa, ila ukweli kila unachotamani jibu ni pesa.Mafanikio sio kumiliki mipesa mingi wala kumiliki vitu vya kifahari mafanikio yana maana pana kidogo. Ukifikiria Leo unaweza kutia nia kumiliki vogue, yes ukamiliki!
Na ukafurahia kwa muda lakini ile furaha haidumu, utahamia kutamani kumilki kitu kingine say,jumba Kali kuliko la aika na nahreel,then ukamiliki kweli but automatically furaha ya kumilki hilo jumba ita expire pia,
Kama nimfuatiliaji Wa biblia ukisoma Kitabu cha mfalme Suleiman, aliyekuwa tajiri Wa kutupwa wakati ule.Alikili wazi kuwa mahangaiko yoote ya mwanadamu kujifaharisha katika majenzi na uso Wa dunia ni UBATILI MTUPU!!!
Then from that hatutakiwi kuhustle??? Naaaah relax!!!
Kuhastle tunatakiwa but tusiishie katika kufocus "material possession" tuu
Tunatakiwa kuiishi,(yaani ui-ishi) furaha ili uweze KUFANIKIWA!
Tu bring all above together
Yaani mafanikio yaanzia ndani,kwamba,"inner development" ya kiroho nafsi na kimwili!
One without others ni ubatili tuu! Hivyo mafanikio katika aspect tatu hizo ni 3D determinants,
Ndio,ukiitafakari katika aspect hizo tatu utajua kwann mtu kama bill gate anaunda vitu kama Bill&melinda Gates,kwanini watu kama Mohamed Ali ni icon za dunia zinazoishi ?
Kwamaana hiyo mafanikio hayana maana kama yataishia kwako na ukoo wako tuu!
Yawaguse wengine tangia unapoanza kuyaishi mafanikio,mfano umepata 10000 katika biashara zako,je imewanufaisha wangapi hiyo amount japo ndogo?
Nani mwenye uhitaji umeacha image yako?
Umemgusa nani?
Kanuni kuu ya mafanikio ni UPENDO kwanza!
Nb;mafanikio sio tamati(Destination),bali ni maisha yako ya kila siku!
Jibu swali la mwenye mada, ambalo linasema hivi: KIMILIKI PESA NYINGI NI MAFANIKIO? Majibu yenu yangeingia iwapo angeuliza mafanikio nini. Tanzanian bana zinguka zinguka tu hata kwenye swali dogo hili tunakosa majibu.Mafanikio ya mtu hayawezi kupimwa na mtu mwingine zaidi ya mhusika mwenyewe....
Mafanikio ni kupata/kufanikisha malengo, mipango na mambo yako katika muda uliouweka.
Success can mean: feeling that tingle of excitement about what you do, sticking with what matters through
hard times, living a life you can feel proud of in retrospect.
Mkuu inaonekana hujaelewa na hujui mtoa mada kauliza nini usikurupuke. mtoa mada kataka kujua maana ya Mafanikio? Lazima utoe maelezo huwezi kujibu kama umebanwa na gogo.Jibu swali la mwenye mada, ambalo linasema hivi: KIMILIKI PESA NYINGI NI MAFANIKIO? Majibu yenu yangeingia iwapo angeuliza mafanikio nini. Tanzanian bana zinguka zinguka tu hata kwenye swali dogo hili tunakosa majibu.
Hivi kuna haja ya kumtusi mtu kwenye kujadili, kile unachowaza wewe kama unadhani ndicho sahihi, kwanini usitumie hoja kunisawishi kukubariani nawe badala ya kunitusi. Hii tabia ya matusi kwa kila neno ni ya watoto waliopatika mama watembeza mwili tu, maana hukosa malezi, nikuambia tu hapa Jamii forums umepotea njia kwako ni facebook. Hapa nisehemu ya wastaarabu, tunahabarishana, tunaelimishana, tunaburudishan.Mkuu inaonekana hujaelewa na hujui mtoa mada kauliza nini usikurupuke. mtoa mada kataka kujua maana ya Mafanikio? Lazima utoe maelezo huwezi kujibu kama umebanwa na gogo.
Kwa wamasai bila kuwa na ng'ombe wengi na wake wengi haelewi kitu juu ya hayo mafanikio uliyoyasema.Hili nalo lakuuliza mkubwa, hujui pesa ndiyo kila kitu, iweje uwe na pesa nyingi alafu uwe hujafanikiwa.kula pesa, nyumba pesa, kustarehe pesa, kuzikana pesa, siasa pesa, watu hukesha sababu ya pesa, vibaka majambazi changudoa wapo sababu ya pesa. Yaani pesa ndiyo kila kitu, kuna msemo wanasema, pesa hupabadili pa usiku kuwa mchana na pa mchana kuwa usiku, hata mimi mwenyewe nimeshindwa kumalizia banda langu sababu ya pesa, hilo sio la kuuliza.
Tupo pamoja maana kila unachokiota, mbele ya pesa huwa kweli.Mafanikio yanapimwa na dhana nyingi ila acheni pesa iitwe pesa aisee...pesa hasa ulioipata kihalali nzuri mnooo,naomba mengi ila Mungu aendelee kunizidishia pesaaa,nimeshika vijisenti tu Ila sijawahi kuvichoka
Yah, kwa sababu ng'ombe ni pesa, na pesa ni ng'ombe pesa. Mkuu hiyo ni njia tu ya kuzifikia pesa, kama ilivyo mkulima shambani, mvuvi, Dereva hao wote lengo ni kuzifikia pesa.Kwa wamasai bila kuwa na ng'ombe wengi na wake wengi haelewi kitu juu ya hayo mafanikio uliyoyasema.