GE2025 Hivi kura za maoni za Wajumbe zinamaana gani ikiwa NEC ndio waamuzi wa uteuzi wa wagombea??

GE2025 Hivi kura za maoni za Wajumbe zinamaana gani ikiwa NEC ndio waamuzi wa uteuzi wa wagombea??

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
7,577
Reaction score
17,718
Tulishuhudia kwa Magufuli 2020
Walioshinda kura za maoni hawakuteuliwa, wakaja kuteuliwa mpaka walioshika nafasi ya tano..!!!

Imefika 2025, Samia nae hivyohivyo, Wagombea walioshinda wamekatwa.

Kwa utafiti wangu mdogo ni wabunge 10 ambao walishinda kwenye kura za maoni ila wamechaguliwa wengine .....

1. Ummy Mwalimu - Tanga Mjini
2. Stanslaus Mabula - Nyamagana
3. Shaban Mrutu - Tabora Mjini
4. Malecela - Dodoma Mjini
5. Luqman Merhab - Mufindi Kastazini
6. Kirumbe Ng' enda - Kigoma Mjini
7. Alexander Mnyeti - Misungwi
8. Prof Edwinius Lyalya - Magu.
9. Robert Maboto - Bunda Mjini
10. Fredrick Lowassa - Monduli

Narudia tena swali langu ....

Ikiwa NEC inajua jimbo fulani atasimama fulani, HIZI KURA ZA MAONI ZA WAJUMBE ZINA MAANA GANI??

Maana watu
1. Wanatumia muda mwingii kuomba kura
2. Wanatumia fedha kushawishi

Kifupi wagombea wanatumia rasilimali nyingii mpaka wanashinda ila NEC INAKUJA KUWAKATA....!!!!

KWANINI???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mnyeti aliangukia pua kura za maoni. Wajumbe walimkaanga!
 
CCM ina wenyewe, asikuambie mtu, wengine wasindikizaji tu ...............
 
Back
Top Bottom