Hivi kunafaida gan? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kunafaida gan?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mapi, May 30, 2012.

 1. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kunawatu wanameza waschokula, wapo katka makundi haya. 1. Anaangalia chakula huku akijshbsha kwa mawazo. 2. Anaangalia mtu anaekula chakula huku yeye anashba...hivi faida kubwa hasa n nin? Ni fahar ya macho? La hasha! Kwan mtu huyu ananjaa ndo maana anakiangalia chakula. Shda yake ni nin hasa? Kula ama? Bandugu, na bauliuzia hawaaaa...wanaokesha madirshan mwa vyumba vya watu, nyumba za wageni,na waleeee kwenye magar, maofsini na maeneo mengne. Hujawafaham tuuu...Haoo WAPIGA CHABO
   
 2. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kawaulize wao, JF hakuna wapiga chabo usitushushie hadhi!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaaa uondo wa ngoma uingie ucheze atiiiiiiiiiii.
   
 4. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Umewajuaje, au wewe ndio zako hizo mzee?
   
 5. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  hahahaha Yummy, inamana jf hakuna binadam?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  HIzi ndizo post za kupigwa ban...
   
 7. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  King Kong III,ngoma nyngne za kimakonde wakat wewe mchaga, lazma wakushtukie kwamba umerukia dundo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  GEORGEallan, sidhan kama wote wanaofundsha histor walkuwepo wakat yanatokea.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  leroy! Hivi ni post au ni ID ndo znapgwa ban?
   
Loading...