Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Wadau nna mdogo wa shangaz yangu hapa anasoma huku shule flan sekondari frm 3 mara kadhaa akitoka shulen huwa analalamika eti mwlm wa physics ana gonga stiki kwa vpimo flan na fimbo yake ni nyembamba ila kaniambia ukipewa stik moja inakuwa ni dozi ya maisha kuna mdau ambaye anaexperience na hi ishu PLZ TOEN FFEDBACK