Hivi kuna uwezekano wa router ya kampuni moja kufanyiwa "utaratibu" ikawa universal router?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Nina router inayotumia line ya kampuni fulani. Lakini hivi karibuni wamekuwa kama matapeli Fulani hivi, ukinunua MB zinaisha fasta wakati MB kama hizo kwa line zingine unaweza kutumia hadi siku tatu (bila downloading au kuingia you tube). Natafuta ujanja wa kuwezesha hiyo router itumike kwa line zote! Karibu wataalamu!
 
Back
Top Bottom