Hayo magonjwa yamekuwa ya ku beep pia mkuu....Gono na kaswende vipo mkuu
Una akili sana !!!Hivi kuna umuhimu gani wa kuvaa viatu?
Acha ufwenke mleta mada.kondo muhimu,tena nilivyopata shida sitaki kusikia habari ya dry.[emoji16][emoji16][emoji16]polee jomoni huyo ukiye tembea naye peku naye aende hospital
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Una akili sana !!!
Na bado viatu tunavaa na soksi !!! Yaani aisee[emoji38] [emoji41][emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Tupa kule kabisa ushaona nguruwe anavyofanya mapenzi hahahaha hutotakaBora ikuume alafu tamu atleast utavumiliaaa sasa chungu alafu inaumaa naitupiliaa mbali[emoji16][emoji16]
Uje uangalie[emoji23][emoji23]Nikaoneaa wap ndugu yangu
Kwa sababu ukivaa vaitu pekee hutafikia lengo ipasavyo hadi utakapoongeza na soksiNa bado viatu tunavaa na soksi !!! Yaani aisee[emoji38] [emoji41]
Tutoe tongo tongo basi sie watoto wa magorofaniTupa kule kabisa ushaona nguruwe anavyofanya mapenzi hahahaha hutotaka
Basi aibu kubwa ahhahaTutoe tongo tongo basi sie watoto wa magorofani
Na viungo vyenu vilikuwa vimebabuka kwelikweli ..... ina utelezi wa ajabu ajabu yaani shape yake ilikuwa haivutii kabisaYaaan ulikuwaa ukiangaliaa dudu ilivyoisha yya mwanaune unasema sitakaa nifanye tena