chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Poleni na pilika za hapa na pale natumaini mko salama na maisha yanasonga kama kawaida.
Nia na dhumuni langu ni kutaka kuwauliza wenzangu.
Mimi nimekua nikifanya biashara ya kutembeza bidhaa mbalimbali, lakini cha kushangaza kila napopita baadhi ya wanunuzi hulalamika kwa uchungu wakisema biashara yangu nzuri lakini pesa hakuna rais wetu Mh. JPM amezikumbatia ndio maana wao wamezikosa, hivo mimi nimejiuliza haya wayasemayo wanunuzi wangu wa bidhaa zangu yanaukweli wowote au ni njia ya kukwepa kununua bidhaa zangu??
sina mengi ndiyo hayo tu, Aksanteni.