Hivi Kuna Ukweli Ndani Yake Au...?

Kwani uzinzi unakatazwa kipindi cha Ramadhani tu?
 
Kwani ukifunga huruhusiwi kujamiiana?

Kujamiiana huruhusiwi ukiwa umefunga, inaruhusiwa baada ya kufungua/kufuturu na asiwe mtu mwengine aidha mkeo au mumeo tu lakini si vinginevyo.

Na pia kujamiiana sio wakati wa kufunga tu hata kama hujafunga huruhusiwi labda kama ni mkeo au mumeo tu ndio inaruhusiwa.
 
Waliposema ukifungua basi uzinzi na matusi ruksa ni wapi mkuu...?
Hao huwa tunawapita tu mkuu. Yaani mtu kakaa kajitungia tu eti wakishafungua matusi na uzinzi ni ruksa. Halafu huwa hawajifikirii kuwa wanaweza kuwa wanumiza hisia za wengine. Hawakawii kusema kwa wachaga wizi ni ruksa bila kujali kuwa kuna wacha wengine makasisi na mashehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…