Hivi kuna ukweli mabonge wengi ni zero brainer?

Au ndio fitna za kutoana mchezoni?
Ungewataja mabonge kisha ukaona kama kweli ni zero brain.

Anza na Bonge Pita Msechu


Pili uje kwa Bad Gear aka Witness Wakilisha aka Bonge mwepesi


Tatu Uje kwa Bonge - Mustapha hassananli


Nne - Njoo kwa Bonge Love Juakali


Tano - MC Big Chris


Sita - Bonge Chesco Msafi


Saba - Bonge mwenye puto -SInga Singa IPTL


Nane - Bonge wa Samuya - CHivaY0
 
Ila ndio watu wanaoaminika sana kwenye kupika deals kisaikolojia mabonge huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa na huwa ndio wanaowatumikisha vimbaumbau wenye akili. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwani usmart unaoongelewa hapa sio ule usmart fulani hivi wa innovation, iq kubwa n.k? Mambo ya analysis za kisayansi, hesabu, mambo ya NASA? Kama ni usmart wa kupata pesa hata za kifisadi sijui dili basi mabonge ni smart sana maana sheria ya kwanza ya kuwa bonge ni uwe na pesa ya kula.
 
Nadhani - Zero brain anaomaanisha mtoa mada ni Akili Sifuri - Wasiojielewa - Hawajui kitu - hawana akili.
 
Reactions: Tsh
Au ndio fitna za kutoana mchezoni?
Gentleman,
usikubali kubebwa ufala wa kifikra, kuhangaishwa wala kubabaishwa dhana potofu na useless kama hizo. Ni vizuri kusonga mbele kama ulivyokusudia moyoni mwako na Mungu wa mbingu na ardhi atakubariki sana aise ๐Ÿ’
 
Ukishakuwa bonge na mkitambi kama sisi ubongo unawaza kula, unakuaje smart? Kila muda una njaa.
Sasa unannenepaje? Ina maana wewe changamoto Za nchi yetu kama una akili hazitoshi kukukondesha, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hata kama hauna akili hata maumivu ya ambao wanapata shida kuliko wewe huyaoni au kuyasikia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Reactions: Tsh
Kuna majitu yapo Jeshini hayatoshi kwenye viti vya Bar na yakifosi kutosha utaona yamepindiana kama Sheikh Mwaipopo ili yakae kwa raha.
 
Sasa unannenepaje? Ina maana wewe changamoto Za nchi yetu kama una akili hazitoshi kukukondesha, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hata kama hauna akili hata maumivu ya ambao wanapata shida kuliko wewe huyaoni au kuyasikia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hahaha, unamaanisha kunenepa kwenye haya mazingira ni unafiki na usaliti? umenisikitisha sana.
 
We jamaa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

But wa pili pale juu hana baya though amekaa darubini yangu inasema hayuko vibaya saana.
 
Natamani kusema kuwa bonge sio kwamba na akili zinakuwa hafifu ila nikimkumbuka mwalimu wangu wa Music na fine art alikuwa bonge sana na alikuwa anapanga foleni na sisi wakati wa chakula cha mchana kwa kisingizo anaangalia wanaoharibu utaratibu lakini muda huo anakula chakula chetu na bado anaenda kula staff .

Nakosa sababu za kuwatetea watu mabonge kabisa .

Miaka ikapita likawa bonge zaidi ,elfu mbili kumi na tano likachukua fomu ya ubunge ,wqjumbe wakalipiga pin ,nashangaa nalipigia kulipa pole likaze wakati mwingine linalia machozi kabisa eti limepoteza gharama nyingi ni hapo nahitimisha kuwa vile unanenepa sana ndivyo na akili zinarudi utotoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ