Hivi Kuna Mashabiki Wenzangu Damu wa Enock Bella wa Yamoto Band Kama Mimi?

Yule dogo anaeimba "kwanza jambo moja nkwambie, wewe unaendana na mie, hao wengine wachunie" katka SU...
".....nikatoa nkagawanya, nkajua unadanganya, we mbaya weee"

Huyo ndo anaejua kundi zima
 
Mwenye ....akae foleni na mwenye .... akae chini, lazima afunge kibwebwe atambe aoneshe mbwembwe, kama Jeshi kitambo, wasemaje mugambo, mimi bwana mipango..............

Hiyo verse inanikoshaga sana japo kuna maneno siyakumbuki
 
uyo ni maromboso,alitisha sana kwenye wimbo wa "Nitajuta"
 
Mwenye ....akae foleni na mwenye .... akae chini, lazima afunge kibwebwe atambe aoneshe mbwembwe, kama Jeshi kitambo, wasemaje mugambo, mimi bwana mipango..............

Hiyo verse inanikoshaga sana japo kuna maneno siyakumbuki
Ahahaha,tuko pamoja!mie amenikosha kwenye "SU",
 
Yule dogo anaeimba "kwanza jambo moja nkwambie, wewe unaendana na mie, hao wengine wachunie" katka SU...
".....nikatoa nkagawanya, nkajua unadanganya, we mbaya weee"

Huyo ndo anaejua kundi zima

Mkuu uyo mtoto anaitwa Maromboso akak romboso khan...Yamoto nzimaaaaa hakuna anayemfikia uyu dogo..Aslay mwenyewe ni kiongozi tu ila Maromboso ni shidaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom