Hivi kuna kocha bora amewahi kutokea Ulaya kama Jose Mourinho?

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Hivi kuna kocha mwenye mafanikio na mtaalam wa mpira wa ulaya kama Morinyo?

Binafsi ningetamani kuona huyu jamaa anaitwa Sir Jose Mourinho. Maana sioni nimlinganishe na kocha yupi, ni basi tu anatokea kwenye kanchi kadogo ka Ureno ndio maana anakua underated hasa ukizingatia media za Uingereza ndizo zinatamba Duniani ila hakika huyi jamaa angekua muingereza sasa angekua anaitwa majina makubwa sana.

Kwangu mimi na kwa facts Mourinho ndie kocha bora zaid8 kuwahi kutokea Ulaya.
 
unapotaja ubora au udhaifu lazima uweke ulinganifu.
Taja mafanikio yako mfano makombe nk ukilinganisha na wengine ili tukuunge mkonobau tukupige kwa hoja.
Wewe umeongea kimahaba zaidi
 
Hivi kuna kocha mwenye mafanikio na mtaalam wa mpira wa ulaya kama Morinyo?

Binafsi ningetamani kuona huyu jamaa anaitwa Sir Jose Mourinho. Maana sioni nimlinganishe na kocha yupi, ni basi tu anatokea kwenye kanchi kadogo ka Ureno ndio maana anakua underated hasa ukizingatia media za Uingereza ndizo zinatamba Duniani ila hakika huyi jamaa angekua muingereza sasa angekua anaitwa majina makubwa sana.

Kwangu mimi na kwa facts Mourinho ndie kocha bora zaid8 kuwahi kutokea Ulaya.
Weka takwimu kuimarisha hoja yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom