Aanh nlijua vyuo km udsm ambao tyr wamefungua watakuwa wameshasainKuna vyuo kibao bado hata havijafunguliwa... Tulia
Cc Leo tumesign MUMJmn hv kuna chuo ambacho wameshasain boom au ndo heslb bado inazngua co kwa wanaoanza ni kwa wale continuous naomb nijibiwe km yupo ana taarifa yyte
MUM hawapewi na HeslbCc Leo tumesign MUM
Mimi ni mwanachuo wa MUM nipo mwaka wa pili ,,,nimeomba mkopo toka hesbl naninanufaika hadi sasa na mkopo. Ila mwaka huu kwa waliokosa mkopo toka loanboard MUM wanatoa mikopo 60% ,,,,,, na Leo tume sign boom,,, ,,,, SIO KWELI KUWA MUM HAWAPEWI MIKOPO ,,,,,,MUM hawapewi na Heslb
sawa MkuuMimi ni mwanachuo wa MUM nipo mwaka wa pili ,,,nimeomba mkopo toka hesbl naninanufaika hadi sasa na mkopo. Ila mwaka huu kwa waliokosa mkopo toka loanboard MUM wanatoa mikopo 60% ,,,,,, na Leo tume sign boom,,, ,,,, SIO KWELI KUWA MUM HAWAPEWI MIKOPO ,,,,,,
Darsa ndio nini? Watu wengine kwa kukosoa bhana😀😀Kwa uandishi huu inapaswa HESLB ikucheleweshee mkopo tu...maana kama ndio umengia Darsa la tatu B.....
Nan kakwambia??? MuM wanapewa na heslb...inafahamika TCU, upooo??MUM hawapewi na Heslb
acha ubishi,chuo pia kinatoa loanNan kakwambia??? MuM wanapewa na heslb...inafahamika TCU, upooo??
MUM LEO TUMESIGNJmn hv kuna chuo ambacho wameshasain boom au ndo heslb bado inazngua co kwa wanaoanza ni kwa wale continuous naomb nijibiwe km yupo ana taarifa yyte
Tv na pombeeeeeeeee