The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mara dishes ana buffet kumbe ?pale Musoma mjini mbiona kuna Mara dishes na tunakula na kusaza
Mara chakula siyo issue, hatunaga mawazo nacho kipo tu
hatnaga budget ya kula yaani kipo tu
harusini nikialikwa naenda na marafiki hata kumi kunisindikiza mimi mwalikwa
na wote tunakula na kusaza
level ya kuwazia msosi tushatoka huko
Tulia weweeeLabda Warren Buffett.!
hatariTulia weweee
Daah mwanangu tangia asubuhi nipo kwa basi nasafiri yaninkishuka tu nalitafuta bufee lilipo.
Aelewe neno tunakula na kusazapale Musoma mjini mbiona kuna Mara dishes na tunakula na kusaza
Mara chakula siyo issue, hatunaga mawazo nacho kipo tu
hatnaga budget ya kula yaani kipo tu
harusini nikialikwa naenda na marafiki hata kumi kunisindikiza mimi mwalikwa
na wote tunakula na kusaza
level ya kuwazia msosi tushatoka huko
Hahahahahaaaaa 😂. Unaekekea wapi? Vipi Udindivu uliwaacha salama?Daah mwanangu tangia asubuhi nipo kwa basi nasafiri yaninkishuka tu nalitafuta bufee lilipo.
Naingia chuga natokea masasi huko.Hahahahahaaaaa 😂. Unaekekea wapi? Vipi Udindivu uliwaacha salama?
Dogo inaonekana wewe ni hustler. Yamal huko anafanya yake.Naingia chuga natokea masasi huko.
Udindivu wako njema kabisa.