Baba Mtu JF-Expert Member Aug 28, 2008 870 168 Jun 13, 2012 #1 Wadau nauliza kama kumiliki blogs ni ujiko au laa!! Maana siku hiz tumekuwa tukilazimishwa kutembelea blogs za watu bila ridhaa yetu. Hili hufanywa na wale waoweka matangazo ya kazi humu. Hebu fungua hapa https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/278149-job-opportunities.html utaona ninachosema. Huu ni mfano mmjoa tu, lakini iko mifano mingi. Kwa nini msiwe mnakopi na kupest hizo nafasi za kazi moja kwa moja, kisha mka-acknowledge links za hizo blogs zetu??!!
Wadau nauliza kama kumiliki blogs ni ujiko au laa!! Maana siku hiz tumekuwa tukilazimishwa kutembelea blogs za watu bila ridhaa yetu. Hili hufanywa na wale waoweka matangazo ya kazi humu. Hebu fungua hapa https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/278149-job-opportunities.html utaona ninachosema. Huu ni mfano mmjoa tu, lakini iko mifano mingi. Kwa nini msiwe mnakopi na kupest hizo nafasi za kazi moja kwa moja, kisha mka-acknowledge links za hizo blogs zetu??!!