Hivi kujiuzulu ni tija?

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,558
7,156
Hata kama sektetary ya ccm viongozi wake wamejiuzulu pana tija gani kwa taifa!?,huu unaweza kuwa mchezo wa kisiasa kuwanyamazisha wananchi wakiingia wengine wanakula vilevile kiasi mpaka mje mstukie wananchi watakuwa wanarudi nyuma badala ya kwenda mbele
 
????? sikupati ati
 
Kujihudhuru ni tija ndio.
Kwa upande wa CCM kujihudhuru kwa makamba ni faida kubwa sana, sababu alikuwa anakisukuma chama shimoni kutokana na mtazamo wetu sisi watazamaji.

Kutokana na nafasi ya ccm katika nchi yetu, kujihudhuru kwa makamba na secretariet yake kutakuwa na
tija inayotegemewa na watanzania kama nafasi hizo zina nguvu ya kufanya mabadiriko tunayotaka kuyaona
yakifanyika katika uongozi wa nchi yetu, kwamba hawa wanaokuja sasa wanauwezo wa kusema
Rushwa ni Adui wa Haki, wanauwezo wa kusema na kusimamia serikali katika kuboresha huduma za
afya, elimu, ulinzi na usalama nk.

lakini kama moja ya kazi yao ni kukaa na kusubiri dr slaa atoe kauli kisha wao wajibu, ama
kuandaa magari ya kubeba wananchi kwenda kwenye vikao vya ccm na kumtafutia rais wetu waganga

Kuna hatari kubwa kwamba the fall of ccm has been accelerated
 
Back
Top Bottom