Hivi kiongozi yupi duniani anaongoza kwa physical fitness

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,206
Pamoja na JPM kujititimua jukwaani na kupiga push ups hadi kuwafurahisha wana CCM kweli kweli je JPM anawazidi marais wenzake kwa 'fitinesi'?(sisemi Mugabe!) Tumlinganishe vipi JPM na Vladimir Putin ambayo anayo kwapani 8 th dan black belt ya karate pamoja na kukimbia Newyork marathon like taking a walk in the park?Nawasilisha.
 
Anaongoza Putin,then wengine wanafuata ila kwa Afrika anayeongoza ni Kabila Jr
 
Hahaha huyu huyu bonge aliyekuwaga dereva tax dar au unamuongelea yupi?

Joseph Kabila ni bingwa wa Karate na Judo ana dani saba za black belt,kusanya familia yako lakini mkishaandika wosia ndio mkamkabili huyu jamaa
 
Hakuna Rais aliyeko madarakani duniani achilia huyo Xi ambaye hatuna rekodi yake,lakini wengine wote hawambabaishi
Toa uwezo wake basi, tupate kufananisha na watu kama akina Putin..
 
Toa uwezo wake basi, tupate kufananisha na watu kama akina Putin..

Kama unaufahamu uwezo wa KGB,huwezi kumuweka kando Putin maana ndiye aliifanya kuwa taasisi mahiri ya Ujasusi duniani wakati akiwa mkurugenzi wake miaka ya nyuma. Ni High Quality and Qualified Spy number one in Russia mkuu. Huyo bwana na hadithi nyingine ndio maana unaona hao watu Siku hizi kiburi sana sababu yake
 
Back
Top Bottom