Hivi Kilango ni nani?

Hana lolote jipya zaidi ya kujitafutia umaarufu asiostahili.
 
 
i ....ni kweli huyu mama hajafanya chochote cha maana lakini wamuweke nana sasa? mimi ninachopinga hapa ni huku kumshambulia matusi ya nguoni

I agree with you 100%. Yaani majimbo ya Same (Mashariki na Magharibi) ni aibu tupu. Hivi hawa viongozi siasa safi au kufichua mafisadi kunasaidia nini kama kazi uliyotumwa na wananchi wako kufanya hujaifanya? Sio kupiga domo tu lazima wajifunze ku-balance mambo (multi-task). Sasa miaka ina-enda "Majimbo ya Same" yako kama shughuli zimesimama yaani maendeleo ni Zerooo. Sina-tatizo na huyu mama lakini I hate to say; Shame on you Ana Kilango na mbunge mwenzio mnaaibisha kwakweli.
 
Alitaka u-1st lady akakosa, now hana hata cheo, linatamani hata u naibu wakini wp no school zen majungu
 
sio fisadi, acha kubwabwaja


Ukiamua kuwa msemaji wa mtu, basi nakushauri usinijibu kwa hoja dhaifu, swali,ni lini Ane Kilango alikanusha hakuchukuwa pesa za kifisadi kutoka kwa Jeetu Patel?
 

ebana eeeh! Duh!
 

mkuu, big ups sana! Umechakachua wapi haya mambo aisee?
 

This is pure nonsense. Bobuk ameandika hii akiwa anaota, hakuna explanation nyingine yoyote. Maana hakuna ukweli hata chembe katika kila mstari alioandika hapo juu.
 
Mme wake wa ndoa alikuwa ni kaka yake mke wa Keenja. Hivyo mke wa Keenja na Kilango ni mawifi. Na hao watoto ni wa hiyo ndoa

You must be joking mams.

Ushauri wa bure: Kama hujui kitu unachotaka kusema, usikiseme.
 
....Anna Kilango Malecela....Jamani yeye akuwai kuwa na mume before kuolewa na Mr Malecela....?

Kabla ya kuolewa na Malecela alikuwa tayari na watoto huyo mama Kilango kama hakuwa na mume basi alikuwa na bwana
 
Au wewe mkuu alikukatalia nini? mbona unamnanga sana Mama huyu. Mimi magamba yote siyaamini maana huwezi kuwa kwenye nyumba inayonuka halafu useme wewe huna harufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…