kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,788
- 5,027
Watu wengi wanajiuliza je kuna maisha baada ya kifo
Na mimi pia najiulizaga swala hilo pia
Lakini mkasa huu nahisi utatusaidia sote kujua kitu fulani
Mwaka 2013 kuna mama mmoja kijijini kwetu alikutwa ameanguka shambani kwake watu fulani wakamuogota na kumpeleka hospitalini
Lakini kwa bahati nzuri na mbaya mama huyo alipona lakini alipooza kabisa mikono na miguu
Baada ya mwezi kazaa mama huyo alikufa
Na kumbuka ilikuwa juma pili ndo alifariki mama huyo na Juma tatu akazikwa
Sasa kuna siku mimi na mke wa brother yangu tulikuwa tunakwenda shambani
Tulivyo kuwa Karibu na shambani la mama yule mama marehemu maana tulikuwa tuna pita shambani kwake kwenda shambani kwetu
Tukaanza kuhisi nyama za mwili kusinyaa na mwili kuwa baridi pamoja na nywele kukokotwa wote tukahisi labda ni baridi ya asubuhi lakini tulivyo kuwa tuna Songea tukawa tuna sikia harufu kali na mbaya
Tulivyo angalia pembeni tulimuona mama yule ambaye alizikwa juma tatu yupo karibu na mti alafu alikuwa kama analia hivi
Tulikimbia mbio uku tukilalamika kwa bahati nzuri kulikuwa kuna pita akina baba wa wili hivi walisikia kelele zetu Wakaja mbio kule ambako tulikuwa wajatuliza nini tatizo tukawapa mkasa wote walishangaa
Mwaka 2016 kuna kijana mmoja ambaye alikuwa ana toka south Afrika uko alikuja kutibiwa kiasili kijijini kwetu lakini kwa kwa bahati mbaya kijana yule hakupona alifariki
Baada ya kupita wiki mbili kuna siku nilikuwa zangu tu nimelala mchana nikaota kijana huyo ana kuja kuniambia kuwa ni mwambie Mke wake achukuwe mtoto wao na pesa ambazo ziko ndani ya pochi lake kwenye suruali jeusi dollars 800 wakimbie sehemu ile ambayo wakaa
Mimi niliamuka uku nikiwa na maswali mengi kichwani juu ya ndoto hiyo kama ni kweli au ni ndoto tu ya kama ndoto zingine
Nilipotezea lakini moyo wangu ukawa unaniambie nenda nenda
Kabla ya kwenda nilimpa habari hizo mama yangu akanishauri kuwa niende kumpa habari hizo mke wa marehemu
Nilikwenda kumpa habari hizo uku moyo wangu ukiwa na maswali mengi nikifikiri nitaonekana Muongo
Nilikwenda kumpa taarifa hizo alinibishia lakini alivyo kwenda kucheki akakuta kweli pesa hizo zipo alishangaa saana
Je kifo kina siri gani? ]