Hivi kesho kuna mgomo wa Mabasi?

Hivi kesho kuna mgomo wa Mabasi?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,813
Reaction score
16,862
Nimeaisikia tetesi kwamba SUMATRA wameshusha nauli bila kushirikisha umoja wa madereva hivyo kwesho watagoma.

Hii ni kuanzia daladala hadi mabasi makubwa.

Je, kuna kuna ukweli?
 
katika mabasi kama matatu niliyopanda hapa town makonda walikuwa wanaongea kuwa kesho kuna mgomo
 
Natamani na sisi wafanyakazi tungekuwa na msimamo kama hawa madereva na wafanyabiashara wa kariakoo na mbeya
 
Natamani na sisi wafanyakazi tungekuwa na msimamo kama hawa madereva na wafanyabiashara wa kariakoo na mbeya

maisha yangekuwa mazuri sana..Sijui tumrogwa wapi angalia wenzetu burundi mpaka kitaeleweka tu.
 
Tatizo viongozi wa TUCTA wanakunywa chai na sambusa ikulu. Nawachukia TUCTA kupita maelezo
 
Nauli ishuke tu! Maana mafuta yameshuka sana. Hamna sabab yoyote ya kugoma.
 
Acha wagome.

Yapo mabasi ya jeshi zaidi ya 500 tutayaweka barabarani halafu tunapiga marufuku hivyo vidaladala kubeba abiria.

Chadema October 25 Ikulu
 
Kushuka kwa nauli haitokuwa sawa kwa kigezo eti mafuta yameshuka bei,,mkumbuke TZsh inashuka thamani kila kukicha ( as today USD 1/ 2020 tsh) dhidi ya Dollar, hivyo kufanya gharama za uagizaji mabasi na vipuri vyake kuwa juu.
 
Ikulu zipo nyingi,labda chadema wataingia ikulu ya moshi
 
Wakizingua iwe mwisho wao kufanya biashara yao ya usafirishaji,tunaleta mabasi mapya na hakuna tena huu upuuzi tuone mwisho wao
 
Back
Top Bottom