Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,166
Pembeni mwa ndege hiyo ya kenya kuna maneno ya Mount Kilimanjaro
sisi hatuna ndege tufanyeje sasa
MBUNGE WETU WA UBUNGO ATATUNUNULIA NDEGEWaache wenye ndege wauandike, sisi tukaandike kwenye mabasi yaendayo kasi
Sio haki yao kufanya hivyo.Waache wenye ndege wauandike, sisi tukaandike kwenye mabasi yaendayo kasi
Kabisa mkuu.Wakenya ni wezi tu