matusi ya nn humu jamani haipendezi mtu mwenye akili timamu kuandika uchafu kama huu JF imeniboa sanaaWananyoa mavuzi
Unaweza kwenda mwenyewe moja kwa moja
Leo wanafungua office zao?? Niwafate??
Nenda hyohyo jtatu
Poa mkuu,hawa jamaa
ni wezi,hebu angalia wanafunzi zaidi ya 12,000 wamekosa vyuo mwaka huu
sasa piga 50,000 x 12,000= 600,000,000/ hii pesa imeliwa na Tanzania
Corruption Unity!!!
Tanzania sikupendi!!
Poa mkuu,hawa jamaa ni wezi,hebu angalia wanafunzi zaidi ya 12,000 wamekosa vyuo mwaka huu sasa piga 50,000 x 12,000= 600,000,000/ hii pesa imeliwa na Tanzania Corruption Unity!!!
Tanzania sikupendi!!
Hapo bado haujajumlisha zile laki moja moja za Ku-verify vyeti vya nje ya nchi kwa graduates na zile elfu 50 kwa undergraduates. Kweli jamaa ni mamilionea hawa lakini sijui kwanini utendaji kazi wao unakua hauridhishi.
Binafsi ni muathirika Wa hili, wanasema process ya kuverify ni ndani ya wiki 2 tu lakini kwasasa nakaribia mwezi na jamaa wameuchuna tu, licha ya kutuwekea requirements kibao juu ya documents za Ku attach na kuongeza gharama ya huduma hiyo kwa 100% but still hawaonyeshi uharaka Wa kushughulikia hili.
Mbaya zaidi bila wao kuverify Basi ofisini hupati promotion na wala hutambuliki ukiomba kazi kwingineko.
Sijui ndiyo hivyo tena hawa TANZANIA CORRUPTION UNIT wanataka tuwapoze kwanza au?
Poa mkuu,hawa jamaa ni wezi,hebu angalia wanafunzi zaidi ya 12,000 wamekosa vyuo mwaka huu sasa piga 50,000 x 12,000= 600,000,000/ hii pesa imeliwa na Tanzania Corruption Unity!!!
Tanzania sikupendi!!
matusi ya nn humu jamani haipendezi mtu mwenye akili timamu kuandika uchafu kama huu JF imeniboa sanaa
Pole sana mkuu,mi jumatatu naenda na Dogo ofisini kwao,hadi kikaeleweke,maana akiba private watamrudisha kuapply TCU tena!!!!