Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,966
- 5,558
Hapo vip!!
Wapizani wa nchi hii huwa wanadai au wanaomba katiba mpya.
Kwasababu kama wanaomba kuna mawili kukubaliwa au kukataliwa na Kama huwa wanaomba wakikataliwa wasilalamike kwasababu katika kuomba moja ya kukataliwa ni jibu.
Na kama wanadai kinachowakwamisha wasipewe nini...
Je, tunapaswa tuombe katiba mpya au tudai?