Hivi Kagera kuna nini wadau?

Ngoja tuvute subra....vipi Leo hatupigi maji ya mu Italia..😁
😀😀 Naachaje kaka ,unataka usiku nianze kutetemeka kama jenereta la mjerumani ?
Napiga maji hivi sio muda nitakuwa kwenye kiglocery cha dada mmoja namtongoza sasa miaka miwili ananikataa, kanipa mualiko ati ni siku yake ya kuzaliwa hivyo kutakuwa na ofa ya bia nne kwa kila atakayehudhuria ,sasa nimeona niwahi mapema nipige nisepe kabla mambo hayajawa mengi si unajua tena sasa hivi ni mwendo wa road to road kukesha si kukesha ,amri si amri kikubwa D9 ipite watu wakapumzike na familia zao
 
True kaka 😊 lazima mwili upewe pole kaka.
Mimi pia nataka niwai home Jana nili chelewa sana
 
Bila kusahau maprofesa wengi wametokea kule KAGERA lakini vumbi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…