jarson mwakyusa
Member
- May 21, 2014
- 73
- 6
Ni aibu tu kwa wanambeya Joseph Mbilinyi Sugu yupo kimya kabisa huku John Mnyika akiwa msema juu ya chuo kikuu cha science and technology (MIST)?
Nadhani sugu ni zaidi ya kiazi mkuu.Sugu! Yule ni zaidi ya kiazi. Wanambeya haturudii tena. Cdm isimamishe mtu mwngne 2015
Ni aibu tu kwa wanambeya joseph mbilinyi sugu yupo kimya kabisa,huku john mnyika akiwa msema juu ya chuo kikuu cha science and technology ?
Mnyia anakiherehere anauza sura tu wala hana jipya.
KICHEKESHO. JOHN ANATAFUTA POLITICAL GAIN KWa hiyo anajaribu kila njia angalau awepo kwenye chart. khusu sugu-hamna cha ajabu maana jamaa ni empty kabisa kichwani. f4 alitaga akatokomea US. na amechaguliwa na machalii ya mjini kama mwenzake lema.
hahaa! unachekesha. Unaweza kulinganisha hicho kimnyika na Professor nguli kama Mhongo? aliulizwa 4 kipeo cha 4 ni ngapi, dogo katokomea kusikojulikana. chezea Professor wewe.waliomchagua watamchagua tena,magamba hatuyapi nafasi tena coz hata tuliofikiri wana akili wametusaliti akili na busara wakazikabidhi kwa nepi na kubaki na empty head
Mnyia anakiherehere anauza sura tu wala hana jipya.