Kwa hiyo mechi moja inatosha kudhani kuwa JB19 ana hisa Azam?Binafsi huwa nashangazwa na kiwango cha John bocco kwani ni galasa mno pamoja na lutokuwa na kipaji jamaa cyo fighter kabsa unamuona kbsa akiwa anacheza hana malengo ya kufunga anasubiri bahati kwa mlioangalia mechi ya jana mtakuwa mashahidi
Alishawahi kuwa mfungaji bora VPL?km ushafuatilia John bocco huwa anang'aa mechi za vibonde akikutana na watu wanaoijua kazi Yao huwa anakuwa mnyonge Sana .....kwa kifupi cyo mpanbanaji
Leo katupia mbili