Hivi JK unajua nini sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi JK unajua nini sasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chigwiye, Feb 7, 2011.

 1. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila kitu hujui,umaskini wa tz unasababishwa na nini,hujui.juzi umesema humjui mmiliki wa Richmond a.k.a Dowans.Hosea mkuu wa Takukuru alituambia pale blue pearl tulipokua na semina elekezi kwa wabunge wa chama chetu kwamba akiitwa na kamati ya bunge yuko tayari kumtaja mmiliki wa Richmond/dowans,ila si ktk semina elekezi.Sasa si umuulize hosea akwambie nani mmiliki wa richmond/dowans!!!!.Naona kama unazidi jishushia hadhi mkuu.Ukishamuuliza,urudi basi uwaambie wananchi ukweli,pengine utarudisha heshima yako na yetu mtaani.
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,653
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Anajua kuchakachua kura, anajua kuwalinda mafisadi, anajua kusafiri sana nje ya nchi na anajua saaaana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini ili yeye na mafisadi wenzake waendelee kubaki madarakani milele, anajuwa sana mipasho,yapo mengi anayajua lakini ni yale yasiyo na faida kwa taifa na watu wake
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Umepata jibu sasa?
   
 4. M

  MWANDAMBO Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dance tu na ufuska ndio ndio ana maalifa yakutosha ana kana hawajui dowans basi amkane na mkwewe na kimwana wake jk ni kama mbwa mwitu mwenye ngozi ya kondoo na hizo kauli zake awaambie wanachama wake wajinga na wapumbavu walio logwa :a s 20:
   
Loading...