Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 547
- 183
inashangaza sana tena sana ..jiji la Dar es salaam kuwa chafu ama niseme linaongoza kwa uchafu...bila shaka wakazi wa hapa mnashuhudia mitaa ilivo michafu na tabia ya sasa ambayo ni sugu ya baadhi ya watu kukusanya uchafu kwenye mifuko na kuitelekeza barabarani na kwenye milango ya watu.
Kazi ya meya ni kusimamia jiji kuwa safi na manispaa anayoiongoza...hili husimamiwa na wenyeviti wa mitaa lakini hapa kwetu tanzania hawa viongozi wa mitaa na vitongoji ni kama huwa hawako kwani wengi wao hawajui majukumu yao..
Wamekuwa wakichaguliwa tu lakini hawaoni wala hawajui wanatakiwa kufanya nini,halafu chama kinatumia uwingi wa viongozi wa serikali za mitaa kuonyesha kuwa wanaungwa mkono na wananchi "ndiyo.!" lakini unaweza kukuta ni mawe ndiyo yamechaguliwa.
Sasa huyu meya wa dar es salaam ni nini kazi yake kwani amekuwa akionekana mjini katika sehemu maarufu..akitanua tuu huku mazingira yanayomzunguka yakiwa yameoza.
Jamani sasa tufanyaje kwa hili.?
Hebu tusaidiane..kwa michango mbalimbali...labda atakumbuka kazi yake.