Hivi Jehanamu iliumbwa lini?

......Biblia inasema...."Mungu huutangaza mwisho mwanzo"...hivyo jehanamu iliumbwa mwanzo.
Katika uumbaji Bibila inaonesha roho ya Bwana ikiwa juu ya vilindi vya maji...jiulize hayo maji yaliumbwa lini?..Kumuelewa Mungu na uumbaji siyo sawa na kuelewa somo la fizikia au liturujia nyinginenyingine.....Mungu njia zake ni kuu sana ndugu yangu.
Akili na mantiki vinahitaji msaada wa Mungu kumuelewa Mungu na uumbaji wake.
 
Kipindi ambacho taka zilijaa na hakuna pa kuzitupia ndiyo pakatengenzwa sehemu na kuitwa Jehanam...

Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Kwan nan alishawahi kwenda huko jehanam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…