Hivi jamani kuna ukweli juu ya hili?

Hivi jamani kuna ukweli juu ya hili?

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Wabari wana Jamii forums.

Mimi ni kijana mwenzenu age yangu kati ya 25-30 nimekuwa nikitafuta mwanamke ambaye naweza kutengenezea nae mahusiano ya kweli yatakayo tupeleka kwenye ndoa.

Lakini changamoto nayakutana nayo kila msichana ambaye naye mpenda nikimtongoza ananikatalia ombi langu lakini cha ajabu wasichana nisio wapenda hawaishi kunishobokea na kujitongozesha kwangu.

Halafu sasa mmi hao si wataki,nimemwambia kaka yangu juu ya hiyo hali na yeye akaniambia kwamba "siku zote msichana unaempenda sana huwezi kumpata na ukimpata hudumu nae.

"Je ndugu zangu kuna ukweli wwote juu ya hiyo kauli ya brother yangu,sio siri nimechoka kuwa na mahusiano na wasichana nisiowapenda, nahitaji mmoja tu ninayempenda nitulie nae.
 
mmh unakazi tatizo unapenda size ambayo siyo yako... wanawake tupo kwenye grade babu eeh unampenda miss chagga anataka kila siku uweke laki mezani utafikiria we ulipata mgao wa escrow usipotoa nakuacha.... baba tafuta wa grade yako unavyoonekana utakaiwa upende wanawake simple siyo wazuri saana wala siyo mbaya saaana alafu asikuzidi la sivyo utachezea kibuti mpaka unuke vibuti maoni yangu hayo
 
lol Nimtakae hataki, nisomtaka yu hoi hadi anakupa dhiki nyumbani kwao hakai..........
Kwani huyu mwanamke unaemtaka yukoje na ananini? na usie mtaka nae yukoje na anakosa gani?
 
mmh unakazi tatizo unapenda size ambayo siyo yako... wanawake tupo kwenye grade babu eeh unampenda miss chagga anataka kila siku uweke laki mezani utafikiria we ulipta mgao wa escrow usipotoa nakuacha.... baba tafuta wa grade yako unavyoonekana utakaiwa upende wanawake simple siyo wazuri saana wala siyo mbaya saaana lafu asikuzidi la sivyo utachezea kibuti mpaka unuke vibuti maoni yangu hayo

Dah!,umejuaje halafu kama nakupenda sana,ila hicho kipengele cha kuweka laki mezani kila siku sikiwezi ni bora nimpelekee babu hiyo laki anipe dawa ya kumvuta mpenzi,nikuvute vizuri kwenye himaya yangu,,,hilo swala la wanawake wa grade silikubali wala nini,ninachojua love doesnt ask why?,mapenzi hayana sababu kama mtu amekupenda2 wala haangalii chochote,ndo maana hata"Rihana"aliwahi kupigwa mambo na mchizi wa kitaa2 huko marekani na "Jenipher lopez"aliwahi kutembea na mcheza shoo wake,mifano ipo mingi sana!!,love is blind!
 
kupiga na kusepa ni sawa mkuu ... kubali ukatae wanawake bana tunamengi moyoni kama siyo size yangu aisee utachezea matukio mpaka ukome
 
lol Nimtakae hataki, nisomtaka yu hoi hadi anakupa dhiki nyumbani kwao hakai..........
Kwani huyu mwanamke unaemtaka yukoje na ananini? na usie mtaka nae yukoje na anakosa gani?

Mkuu mapenzi ni kitendawili ukitega mpaka umpate wa kutegua,mapenzi ni jambo la kihisia zaidi sio la kimaumbile so siwezi kuelezea zaidi mwanamke ninayempenda anatakiwa aweje!!
 
mmh unakazi tatizo unapenda size ambayo siyo yako... wanawake tupo kwenye grade babu eeh unampenda miss chagga anataka kila siku uweke laki mezani utafikiria we ulipta mgao wa escrow usipotoa nakuacha.... baba tafuta wa grade yako unavyoonekana utakaiwa upende wanawake simple siyo wazuri saana wala siyo mbaya saaana lafu asikuzidi la sivyo utachezea kibuti mpaka unuke vibuti maoni yangu hayo

Heeeeee!!!!!! Uuuuuu!!!!!! ha ha haaa haaa! jamani namuonea huruma mimi jamani khaaa!!!! huna hata neno la kufariji????
Ushauri wangu huu hapa.
1418148638642.jpg

Dawa yao hii hapa
1417249409888.jpg
Zaidi hapo chukua ujumbe huu
1417945053251.jpg
 
Heeeeee!!!!!! Uuuuuu!!!!!! ha ha haaa haaa! jamani namuonea huruma mimi jamani khaaa!!!! huna hata neno la kufariji????
Ushauri wangu huu hapa.
View attachment 225450

Dawa yao hii hapa
View attachment 225451
Zaidi hapo chukua ujumbe huu
View attachment 225452

Mkuu,naona labda hujanielewa pesa za kuhonga wanawake ni nazo,tatizo sio pesa,hoja yangu ni nao wapenda hawanipendi nisio wapenda wananipenda mpaka bac,labda ungeniambia tatizo nyota ningekuelewa lakini sio pesa hata hivyo money can buy sex not love!!
 
Nimejibu pande zote, kama hupendwi na unaowapenda jizoeze kuwapenda wanaokupenda dogo.
Kama pesa ipo miss chaga anakupenda mrushie sasa hivi ka laki ya BATOOK na ki air time cha 500000, uone kama hujaamia paradiso ya mahaba.
 
Pesa Huna, Na Kama Unazo We Bair, Unaempenda Ukifungua Poch Automatcly Atakupenda Tu, Na Kwa Sasa Hutopata Mwanamke Bila Chapaa, Hata Kama N Kdogo Ujtahd, Na Ukimpata Bas N Yule Ameshapigika Mtaan Hana Pa Kwenda, Mapenz Ya Dhat N Zaman Sa Hv Mapenz Na Poch, Kuringana Na Saiz Ya Dem Mwenyewe
 
Hiyo pesa ni ndogo sana kwa mwanamke ninayempenda naweza kumpatia zaidi ya hiyo lakini ikumbukwe kwamba hakuna pesa ya bure labda iwe msaada,anatakiwa afanya kazi kwanza yakunipenda ndipo nami nimlipe kwa upendo kwa kumpatia dollars,zaidi ya hapo labda awe super bitch nimnunue kwa usiku mmoja2!
 
Ha haa haaa haaa, Uuuuuuuuuuu!!!!!!!!! unataka kupendwa unaleta nyodooooo. khaa!!!!
Laki ya BATOOK sio hongo ni kama vile keep change, nishaona wewe una pesa ya wasiwasi.
vi hela vidogo hivo, ukijumlisha kama vi laki 6 umahamaki kiasi hicho, Aisee babaake hapo warembo utaishia kuwaona kwenye screen tu.
 
Pesa Huna, Na Kama Unazo We Bair, Unaempenda Ukifungua Poch Automatcly Atakupenda Tu, Na Kwa Sasa Hutopata Mwanamke Bila Chapaa, Hata Kama N Kdogo Ujtahd, Na Ukimpata Bas N Yule Ameshapigika Mtaan Hana Pa Kwenda, Mapenz Ya Dhat N Zaman Sa Hv Mapenz Na Poch, Kuringana Na Saiz Ya Dem Mwenyewe

Pesa sio mapenzi mkuu,na mwanamke yoyote anaeamini hivyo, huyo anashida zake2 coz pesa inatimiza mahitaji(needs)na mapenzi ni kitu kingine kabisa (love doesnt cost anything)Ni zawadi mungu amewapa maskini na tajiri,wanaume wengi wanatumia pesa kama chambo ya kumpata mwanamke,kama ulimpata mwanamke kwa kutumia pesa ipo siku wanaume wengine wenyepesa kuzidi wwe watakuja kukuibia mwanamke wako..!!
 
kupiga na kusepa ni sawa mkuu ... kubali ukatae wanawake bana tunamengi moyoni kama siyo size yangu aisee utachezea matukio mpaka ukome
Kama kuna ukweli vilee?, na hata hizi ndoa kila siku visa ni kwa sababu watu walichagua oversize?
 
siwezi kuhonga kwa sababu sina pesa..! nitaoa demu mbovu ili niwe na amani.. naowapenda hawatonipenda watapenda pesa na mimi sina.
 
Mkuu mapenzi ni kitendawili ukitega mpaka umpate wa kutegua,mapenzi ni jambo la kihisia zaidi sio la kimaumbile so siwezi kuelezea zaidi mwanamke ninayempenda anatakiwa aweje!!
Aweje namanisha awena tabia zaiana gani au kitu muhimu kwako wewe kama binadamu kupi mpenzi wako akiwanacho
unapendelea zaidi au unafurahi zaidi,mfano mimi napenda mume mrefu asiwe mnene,anaenidekeza,ambao hajaoa wala hana mtoto wa nje,mwenye kuniheshimu mcheshi...
 
Back
Top Bottom