....hivi jamani hamuoni.....

kama kissing ni uchafu????naongelea kulana denda...yuk yuk!!
 
Niko kilimani narandaaaaa
Nangojea pigo kupandaaaa

Raisi Nyerereee kasemaaaa
Vijana fungeeenii mikandaaa
Nilikulaa waliii kwaa Nguruuu
Nikaaaaa uliliaaaaa uhuruuuu

Ooooohhhhhh jamaniiiiii
Vijaaaanaaaa fungeeeeniii mikandaaaa...

Nanate..
 
Niko kilimani narandaaaaa
Nangojea pigo kupandaaaa

Raisi Nyerereee kasemaaaa
Vijana fungeeenii mikandaaa
Nilikulaa waliii kwaa Nguruuu
Nikaaaaa uliliaaaaa uhuruuuu

Ooooohhhhhh jamaniiiiii
Vijaaaanaaaa fungeeeeniii mikandaaaa...

Nanate..

cheiiiiii cheiiiii shangazi chei shangazi cheeeeeeeeeeeeeiiiiiiiiiiiii
 
BAK usiniambie ile mikoba ya sheikh yahaya ni wewe uliirithi,umejuaje mie ni mtoto?

Hahahahahah lol! Maraha kama yale hadi wahusika wanafumba macho wanapokuwa wanakula denda wewe unasema ni uchafu!!!!! Mtu mzima ambaye anajua raha ya ile kitu kamwe hawezi kusema ule ni uchafu. Kama nawe ni mtu mzima basi uwe unazipima kwanza kauli zako kabla ya kuziweka hapa. Maana "uchafu huo" wa kula denda ulikuwepo kwa miaka mingi sana na utaendelea kuwepo kwa karne chungu nzima zijazo ali mradi tu Wanadamu bado wako duniani, na kamwe sidhani kama kuna mtu mzima atayekubaliana nawe kuhusu kauli yako. Jumapili njema Saaly :)
 
Back
Top Bottom