Hivi itawezekana mtu hakushiriki uchaguzi kukana matokeo kwa niaba ya chama?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,198
Hivi itawezekana kiongozi ambaye uchaguzi ukifanyika hakuwa ktk chama , baada ya uchaguzi ana rudi kuja kukana matokeo km yalivyopokekewa na wapiga kura na viongozi walioshiriki?
 
Tanzania pekee linawezekana,nchi ya wendawazimu fresh,wanamiliki kila kitu,kwenye kufikiri ni balaa!
 
Back
Top Bottom