Hivi IPTL , wanalipwa kama kawa au ?

Hivi IPTL , wanalipwa kama kawa au ?

Cheque yao inaingia kwenye account kimya kimya na maisha yanaendelea
 
Mkataba ni almost 30 years
Per day wanalipwa MILLION 400 na serikali
 
Huyu singasinga ndio alitoa zaidi ya nusu ya budget kwenye kampeni na wale vijana waliokuwa mlimani city wakifanya yao ile team ya marope kwenye kuchakata kura ni singasinga ndo mdhamini you can see
 
Duh! Noma kweli !
 
Back
Top Bottom