Punguza spidi ili uandike kitu kinachoelew
Sawa ndugu yangu. Ni maswali tu kichwani. Naona kama nachanganyikiwa kwa ninachikiona kama mwanachama wa CCMPunguza spidi ili uandike kitu kinachoeleweka
Uhuni wa kujipendekeza tu ili kupanda vyeo , ila pia hufanya hivi kutengeneza upigaji , mfano majuzi unafikili ilitumika sh ngapi ,ila safari hii police wote waliohusika wapo na bahati mbaya sana.Najiuliza swali kubwa Sana. Hivi inteligensia ya Polisi wa Tanzania ni Kwa CHADEMA tu?. Yani CHADEMA ndio pekee wanaomulikwa na polisi?
Binti anabakwa na vijana Sita na polisi hawajui mpaka Video ilipowekwa hadharani ndipo wakaanza kuhaha ila mpaka Leo hakuna hatua iliyochukuliwa. Nikawa najiuliza Kama Jambo baya Kama Hilo linafanyika na polisi hawajui, je inteligensia yao ni kubwa kiasi gani?. Cha kushangaza polisi wasiokuwa na intelejensia kwenye makosa ya jinai, wanakuwa wepesi kuwa na intelejensia kwenye siasa hasa Kwa chama Cha CHADEMA.
Kwenye Ziara ya Makonda kipindi akiwa mwenezi wa CCM ilionekana wazi polisi wamezidiwa na kupotea Kwa watu. Watu wanatekwa na watu wasiojulikana na kupotelea kusikojulikana na polisi wapo kimya. TLS wameitoa orodha ya watu waliopotea mpaka Leo wanaokaribia 80 ila Polisi wapo kimya Kama hawajui chochote.
Polisi hawajui nani alimshambulia Lissu, polisi hawajui Ben Sanane alipotelea wapi na polisi hawajui Azory Gwanda alipotelea wapi?. Yani itelijensia yao imefikia kikomo. Lakini inteligensia yao ipo juu linapofika suala la CHADEMA ndio utaona unafiki wao.
Polisi badilikeni acheni ujinga.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Hivi hili swali la Oscar Oscar kati ya CCM na jeshi la Polisi nani wanaotakiwa walijibu?
Kisera bado Chadema hamna kitu nataka tu waachiwe. Wasikamatwe kamatwe kututia doa. Waongeeee mpaka basi.Sawa ndugu yangu. Ni maswali tu kichwani. Naona kama nachanganyikiwa kwa ninachikiona kama mwanachama wa CCM
Binafsi nahisi sera za polisi juu ya vyama vya siasa ni lazima ziangaliwe upya ili wafanye balance ya Ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano na Sheria namba 16 ya makosa ya jinai. Wangekamatwa kama wameleta vurugu lkn sio kama inawezekana wakaleta vurugu. Tuwe na uhakika wa ushahidi kwamba vurugu imetokeaUhuni wa kujipendekeza tu ili kupanda vyeo , ila pia hufanya hivi kutengeneza upigaji , mfano majuzi unafikili ilitumika sh ngapi ,ila safari hii police wote waliohusika wapo na bahati mbaya sana.
Umeelewa usijitoe kwenye reliPunguza spidi ili uandike kitu kinachoeleweka
"Mkoto"CCM kindakindaki na mTanzania mpenda Haki hawezi kuunga mkoto kilichotokea Mbeya.
Kabisa mkuu hatuna jeshi bali wahuni waliojificha kwenye kichaka Cha uniforms.Najiuliza swali kubwa Sana. Hivi inteligensia ya Polisi wa Tanzania ni Kwa CHADEMA tu?.
Polisi badilikeni acheni ujinga.
Siku zote mtaji wa mapolice tz ni chademaBinafsi nahisi sera za polisi juu ya vyama vya siasa ni lazima ziangaliwe upya ili wafanye balance ya Ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano na Sheria namba 16 ya makosa ya jinai. Wangekamatwa kama wameleta vurugu lkn sio kama inawezekana wakaleta vurugu. Tuwe na uhakika wa ushahidi kwamba vurugu imetokea
Ni lazima kuwepo namna nzuri ya mawasiliano ndani ya vyama vya siasa sio uadui wakati wote. Inachosha watuSiku zote mtaji wa mapolice tz ni chadema
Dr. Santos, mzazi wangu aliwekwa kizuizini mwaka 1955 na wakoloni akimtetea mwalimu Nyerere ktk harakati za uhuru wetu, wakamwachia. Ni mwanzilishi wa TANU pia. Nimekuwa CCM miaka yote ya maisha yangu ingawa sijawahi kugombea hata ujumbe wa nyumba 10 na sio kwamba siwezi. Mwl Nyerere na mama Maria ni family friends wa familia yetu na Butiama ndio nyumbani kwangu. Natetea tu maslahi ya chama changu na nchi. Ni lazima tuwe na mabomba ya mawasiliano kati ya chama chochote kinachotawala na upinzani hata kama chama kinachotawala ni CHADEMA mimi sijali kama ni matakwa ya wananchi na mimi ni CCM. Nchi kwanza vyama badae. Hapa ninachoona vyama vya siasa havina meseji inayoshawishi watu na ni mtu kama Tundu Lisu(confrontantional politics) anayeongea kila siku kwa kutoa mapovu mdomoni bila hekima na siasa za kimtikila, za kibaguzi, ulaghai , matusi na kwa nia ya kuigawa nchi. Hazifai lkn hiyo ni juu yao. Hata hivyo Watanzania sio wajinga. Wanajua tunakosea wapi na wanakosea wapi. Kura zao zinapigwa kwa matokeo hayo niliyoyasema. Nataka tu polisi wawe less involved. Watuachie tuchuane.Umeelewa usijitoe kwenye reli
Ccm wamefanya chombo cha umma kama police kuchukiwa na wananchi , umeshauri vizuri juu ya chama chako , ila kama huna wadhifa ndani ya chama huwezi sikilizwa na chama chakoDr. Santos, mzazi wangu aliwekwa kizuizini mwaka 1955 na wakoloni akimtetea mwalimu Nyerere ktk harakati za uhuru wetu, wakamwachia. Ni mwanzilishi wa TANU pia. Nimekuwa CCM miaka yote ya maisha yangu ingawa sijawahi kugombea hata ujumbe wa nyumba 10 na sio kwamba siwezi. Mwl Nyerere na mama Maria ni family friends wa familia yetu na Butiama ndio nyumbani kwangu. Natetea tu maslahi ya chama changu na nchi. Ni lazima tuwe na mabomba ya mawasiliano kati ya chama chochote kinachotawala na upinzani hata kama chama kinachotawala ni CHADEMA mimi sijali kama ni matakwa ya wananchi na mimi ni CCM. Nchi kwanza vyama badae. Hapa ninachoona vyama vya siasa havina meseji inayoshawishi watu na ni mtu kama Tundu Lisu(confrontantional politics) anayeongea kila siku kwa kutoa mapovu mdomoni bila hekima na siasa za kimtikila, za kibaguzi, ulaghai , matusi na kwa nia ya kuigawa nchi. Hazifai lkn hiyo ni juu yao. Hata hivyo Watanzania sio wajinga. Wanajua tunakosea wapi na wanakosea wapi. Kura zao zinapigwa kwa matokeo hayo niliyoyasema. Nataka tu polisi wawe less involved. Watuachie tuchuane.
Chadema wanachakuongea tena kikubwa tu ndo maana hata viongozi na wanachama wake wakihongwa na kujiunga na ccm hupewa vyeo. Mfano mashinji, lijualikali nkKisera bado Chadema hamna kitu nataka tu waachiwe. Wasikamatwe kamatwe kututia doa. Waongeeee mpaka basi.
Hilo ni neno kubwa. Nakubali lkn mimi kama mimi naamini kwa upenzi nilionao nitasikilizwa. Hiki chama kimetoka mbali na kinabadilika. Na sisi wanachama tunabadilika.Ccm wamefanya chombo cha umma kama police kuchukiwa na wananchi , umeshauri vizuri juu ya chama chako , ila kama huna wadhifa ndani ya chama huwezi sikilizwa na chama chako
Mkuu ccm ile kwa sasa,Hilo ni neno kubwa. Nakubali lkn mimi kama mimi naamini kwa upenzi nilionao nitasikilizwa. Hiki chama kimetoka mbali na kinabadilika. Na sisi wanachama tunabadilika.