Eleza vizuri, ndoa kabla/baada ya kuonjana. Au mmeshafunga ndoa halafu hamfanyi tendo la ndoa? All in all tendo la ndoa kabla ya ndoa si halali kidini na kijamii pia. Lakini tendo la ndoa ni maridhiano kati ya wawili hata kama wako kwenye ndoa ukizingatia na beijing hii huchelewii kusikia mume wangu kanibaka.