kama moyo ni uhai halisi mbona tumefundishwa moyo unakuwa unaendeshwa na ubongo kwann wenyew usiwe ndo unacontro ubongo...?Bado swali lako lina utata.
Moyo ni kiungo ambacho hakuna uwezekano wa kuhamisha. Ni uhai halisi wa kila kiumbe duniani. Hayo ndiyo majibu.
Hiyo inafanyika mkuu tena siku nyingi tu. Lakini bongo bado kwa hilo.atakaye kuwa hai ni yule pokea
so nataka kujua jambo hili linawezekana..?
vitu vingi vinabadilisha hata moyo na mapafu kwa pamoja vinatolewa na kuwekewa vingine na unaendela kuishiHapana.
Kamwe huwezi kumpa mtu mwingine moyo na akaishi nawe ukaendelea kuishi. Ni figo ndo inawezekana mkuu.