Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Hata mimi huwa nawashangaa alafu linaonekana yan nikiona mwanaume kavaa hivyo hata hamu inaniisha na huwa nakata stimu balaaa. Na mtu wa hivyo haezi nigusa hata mkono wangu maana najua moja kwa moja kuwa huyu mtu ni mchafu. Wanaume mbadilike

Sema ww yaaab unakuta linaninginiaa juu ya suruali yaan hadi kero
 
Wewe ushawaona mabwana wangapi katika hali hiyo ya kuvaa bukta? Unaonekana kiwembe hatari
Maofini nawaonaa kibao mibuktaa inaninginiaa hafi kero bwana angu hawez kuvaa hayo makitu labda akiwa anaenda zake mazoezini
 
We si ulisema umeolewa sasa kwanini usimnunulie mmeo hizo boxer unazotaka
Bwana angi hawezi kuvaa hizo nailoni mkuu boxer namnunuliaa mwenyewe ,namfuliaa mwenyewe na nampangiaa ya kuvaaa mwenyewe so hawezi kujijaladiaa mwishowe anuke berries bure
 
Kwenye mihangaiko ya duniaa alafu nafanya kazi na wanaume ofisini mara kibao mashart yanachomoka unakuta mtu kavaa mpensi mara ya kijani,njano saa nyingine mpka la purple yaan nachukiaa balaaa
Achana nao mkuu labda watakuwa mabachelor kama Mimi hawajapata wa kuwaweka sawa m mwenyewe navaaga Mara moja moja sababu zile ziko salama izo nyingine ukilowa jasho ukikaa vibaya zinatatuka
 
Back
Top Bottom