wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Sijui niseme ni kampuni kuchoka au ni makusudi wanafanya maana unakuta mtu anakupigia hata humjui na anakuambia eti amekuta ulimbipu wakati huo wewe hata simu hujaigusa.
Hii hali imenitokea zaidi ya mara 4 kwa wiki kila nikijaribu kumwambia mhusika sinafanya hivyo inaishia kulumbana .
Hii kampuni ya tigo tanzania kwangu ndio hali hii inanitokea mara kwa mara je!inasababishwa na nini.